Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Masahihisho - Tazara hakuna Flyover pale pana kivuko tu , ondoa ushamba wako wa Geita

Unajua kichwa cha habari kikiwa cha uongo basi content inakosa uhalali pia
 
Kwakuwa watu wasioujulikana hawajagusa maisha yako wala ya ndugu zako.

Huko Ethiopia waliokoandama kumtoa dikteta kuna ndege nyinyi tu na miuindombinu mizuri lakini havikupumbaza wananchi.

Acheni ushamba na kuwa wajinga!!
Kabisaaaa
 
Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Are you realy serious?unatania maendeleo au hujui unaadika nini?
 
Subiri ikamilike mzee Zindua ataenda kuzindua na mipasho juu, kama namwona akisema "Hii flyover imejenga CCM kwa sababu ndicho chama kinachopenda maendeleo" CCM hoyee kisha anasema "Ndugu zangu watanzania maendeleo hayana chama, ndio maana mimi mwenyekiti wa CCM nimejenga ili Chadema wapite, wafanye na maandamano" Haya Mbowe njoo hapa nataka useme wewe mwenyekiti wa Chadema umetoa Shilingi ngapi kujenga hapa maana mimi wa CCM nimejenga!! Watu; ooh ooh
Yeye; Aseme hapa hapa nanyie msikie katoa ngapi????
Mbowe; Mh ujenzi wa Hii. . (Anakatizwa)
Mzinduaji; Sema Shilingi ngapi?? Au hujatoa? ? Jamani Ndugu zangu si mmeona lakini???
 
Kwani kuna tofauti gani hapo au kwa sababu hizo zimepishana? acha kudharau chako utakuwa mtumwa.
eti kudharau chako,una chako hapo ww hela kujenga hilo daraja imetolewa na hao hao wazungu wahandisi ni hao hao.cha kwako hapo labda ni ardhi tu
 
na wewe mpe tuzo ya fly over ili moyo wako utulie! Watu hatuna hela we unaleta mambo ya fly over, yaani ni kama watoto wa kota wanapoenda uswahilini na stori za isidingo! Leta uchumi mefukoni shubamitii..!

Huna hela??? Unatafuta nini mjini? Utaolewa!!!!!!
 
sasa hiyo ya Tazara ni barabara,ww uliona wapi flyover ya MITA 200
 
mkuu hii ni flyover au Daraja tu kama la Mbutu?
 
Define: Bridge, Flyover, Interchange. Tusipende kukariri tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Binafsi sikulinganisha ulaya na Tanzania ila wewe ndio umelinganisha fly over zao na ukosefu wa ajira.

Ndio maana nilikuuliza kumbe unajua hata Ulaya kuna changamoto, Kwani Tanzania ni nani isiwe na changamoto?
Changamoto za Ulaya hazitokani na maamuzi ya kukurupuka, kutofutwa bajeti, mtu mmoja kuwa na maamuzi ya kila kitu, vipaumbe vibovu, kupuuza sekta muhimu za kiuchumi na kibiashara katika nchi, n.k
 
Hii definition imekosewa?
 
Ukiangalia definition ya flyover, utashindwa kuelewa wanaopinga ile ya tazara sio flyover wanatumia definition ipi.Au ndio mwendelezo wa kupinga kila kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…