Kuna mwenye hotel ameingia mkataba na manispaa mle ndani. Ili aweze kutumiza marejesho ni pamoja na kuhodhi biashara za ndani.Pale utauziwa mikate ndani.....nenda tu mfano kwenye coater za Turiani.....utaleetewa mpaka chips take away. Labda kama wewe huwa unapita kwa ndega.
Kuruhusiwa kufanya biashara ni jambo Moja na kupangiwa utaratibu wa kufanya biashara ni jambo jingine kabisa...Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta Kero naomba waruhusiwe pia kwenda pale JNIA Terminal III haraka sana.
Kama kweli Wanasiasa wetu nchini Tanzania wanawapenda kweli kweli Watu (Wananchi) wao hasa Masikini ( Walalahoi ) basi wasiishie tu kutafuta Sifa za Kiumaarufu kwa Kuwaruhusu waingie ndani kabisa ya Stendi mpya ya Mbezi Kufanya Biashara zao bali wawaruhusu pia kuingia JNIA Terminal III, KIA na kama kweli tunawapenda basi waruhusiwe kuingia hadi Ikulu Magogoni na Chamwino.
Inakera!
Kama hakuna utaratibu hao wamachinga wanaingiaje stand?Umefanikiwa kufika pale ukauona utaratibu?
Km ulikua hujui pale kuna Uhuru bila utaratibu mambo ni vagalanti...viongozi wote wanawaogopa wamachinga.
Bongo tunatengeneza kitu cha ajabu sana kinaeza leta madhara baadae kwa kuwalea hawa masikini wafanye watakavyo. Ipo siku matajiri watasema basi na kwa nguvu zao kitatokea nn sijui. Umeona kama anavyojibu huyo ni chuki za wazi.Kwa hiyo wakienda uwanja wa ndege watageuka kuwa mbuzi? tuache ushamba tujadili hoja, jamaa katoa hoja tuna takiwa tumjibu kwa hoja na siyo matusi ya kijinga
mnyonge wewe na mumeo na babeenuTulia wewe, sisi wanyonge ndio wapiga kura wake. Msitusumbue, au nasema uongo ndugu zangu ?
Sawa......nimekuelewa mkuu.Kuna mwenye hotel ameingia mkataba na manispaa mle ndani. Ili aweze kutumiza marejesho ni pamoja na kuhodhi biashara za ndani.
Ukiona wameingia wachache ni njaa ya mgambo, kila mtu anakula ofisini kwake
Tena chuki za kipumbavu kabisaBongo tunatengeneza kitu cha ajabu sana kinaeza leta madhara baadae kwa kuwalea hawa masikini wafanye watakavyo. Ipo siku matajiri watasema basi na kwa nguvu zao kitatokea nn sijui. Umeona kama anavyojibu huyo ni chuki za wazi.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila huyo jamaa ni mwanaume mzee.mnyonge wewe na mumeo na babeenu
Sure mkuuHivi unapoteza muda kwa watu wenye comment kama hizo. Umempa kiki sana, s
Kwanini unataka wote wakae stand Mbenzi na wakati kuna maeneo kibao?Mkuu kama unafanya biashara sidhan kama maswal haya ungeyauliza!
umijuaje... huyo mbona ni FUDI ya mtu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila huyo jamaa ni mwanaume mzee.
Kwani uwanja wa ndege siyo eneo la umma na masikini? mpuuzi wewe acha kulea ujingaOfsi sio sehemu inafanyika biashara
Stend ni sehemu ya watu kufanya biashara, ni haki ya kila mtu kufanya biashara, stend ni ya Watanzania wote maskini na tajiri, kama unaona huo ni uchafuzi na unakuboa, Jenga stend yako ama boresha nyumbani kwako pakuvutie ili uvinjali zaidi
Akili yako ni ya Kihayawani ( Kipumbavu ) kama ya huyo ( huyu ) Mwanasiasa unayemtetea hapa. Wenye Upeo mkubwa tulishawadharau Kitambo.Punguza stress ndugu yangu!
Punguza chuki zako dhidi ya serikali na wananchi wanaoipenda au kuifurahia serikali yao.
Punguza hasira na wamachinga,mamalishe na wengine wanaopambana kupata tonge.
Pita nchi nzima,machinga na mama ntilie biashara zao wanafanya stendi ama pembezoni mwa barabara....ama mahali popote penye shughuli zinazofanya watu kupatikana kwa wingi...mfano viwandani na maeneo yanapopatika wanachuo au hata ndani ya fensi za baadhi ya shule za msingi na sekondari.
Ni upumbavu kutaka watu waruhusiwe kufanya shughuli hizo kwenye viwanja vya ndege au ikulu. Na pia,natiliashaka uelewa wako wa mambo. Jaribu kuwa na akili ya ziada kwenye kupambanua mambo.
ACHA HASIRA NA CHUKI.
[emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa tu mwanaume.....huoni kajiita mnyonge?umijuaje... huyo mbona ni FUDI ya mtu
Precisely.Kuna tatizo mahali, mi nadhani hasa ktk ubongo wa wanasiasa
Sawa.Akili yako ni ya Kihayawani ( Kipumbavu ) kama ya huyo ( huyu ) Mwanasiasa unayemtetea hapa. Wenye Upeo mkubwa tulishawadharau Kitambo.
kwani mnyonge hawezi kuwa DEMU? we nawe mbona unaonekana kama walewale?[emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa tu mwanaume.....huoni kajiita mnyonge?
Ndugu kwa hili huwasemi Watani zangu Waha na Wahaya?Umenikubusha mbali tulipokuwa tunachanganyika skuli kuna kabila lilikuwa linapanda juu ya vyoo vya kukaa tulikuwa tunapata tabu sana mpaka walipo elewa matumizi ya vyoo hivyo hivyo kwenye hili tutaelewana baada ya hasara
Ohooo!!kwani mnyonge hawezi kuwa DEMU? we nawe mbona unaonekana kama walewale?