Kuna mwenye hotel ameingia mkataba na manispaa mle ndani. Ili aweze kutumiza marejesho ni pamoja na kuhodhi biashara za ndani.Pale utauziwa mikate ndani.....nenda tu mfano kwenye coater za Turiani.....utaleetewa mpaka chips take away. Labda kama wewe huwa unapita kwa ndega.
Ukiona wameingia wachache ni njaa ya mgambo, kila mtu anakula ofisini kwake