Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Labda miradi ya kinyesi, kama neno lenyewe kujiajiri limekushinda kuandika sembuse kujilipa 80k
Wapi picha? wengine tunaishi vijijini huku.
Nilichelewa Kusoma hii post yako Ndugu. Nimecheka hadi Kuanguka katika Kiti changu. Kuna Watu (JF Members) hapa mna Majibu ya Shombo mno. Umenivunja Mbavu!!!Labda miradi ya kinyesi, kama neno lenyewe kujiajiri limekushinda kuandika sembuse kujilipa 80k
Ficha ujinga wakoUmesema ujinga kwa sababu maeneo yote mawili yanahudumia wasafiri wenye mahitaji sawa ya safari yanayopatikana kwa Machinga na Mamalishe. Msafiri Msukuma kama wewe anasafiri toka Dar es Salaam madege ya Magufuli yapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa anakata tiketi yake, atanunua zawadi huyooo anatelemka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato na zawadi alizonunua kwa Machinga. Mlugulu anakwenda kwao Mji kasoro Bahari kusalimia ndugu anakata Tiketi yake Magufuli Bus Stand huyooo na Hood Bus Service mpaka Moro Stand ya Kisasa iliyofunguliwa na Magufuli, anatelemka na zawadi alizonunua kwa Mamantilie. Kila kitu Magufuli hata ile Nyumba ya TANU Lumumba iliyofunguliwa karibuni!
Kupiga Debe ni Ajira rasmi nchini Tanzania? Kuibiwa kwa Wasafiri hapo Stendi ndiyo Fursa ya Kiuchumi ( Kimaisha ) kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini hapo Stendi Mpya Mbezi? Kuna Vitu Vinakera mno na havivumiliki kama kweli Kichwani mwako kuna Akili za Kutosha na Uwerevu usio na Shaka.Inabidi hata wapiga debe waruhusiwe kuingia ndani na pembezoni mwa Hiyo stand,maana ndo shughuli yao inayowaingizia kipato.Wasafiri wataibiwa kwa Sana.
wanafanya kama kawaida bila kificho wala kubughudhiwa!Inabidi hata wapiga debe waruhusiwe kuingia ndani na pembezoni mwa Hiyo stand maana ndio shughuli yao inayowaingizia kipato. Wasafiri wataibiwa kwa Sana.
Kaka hakuna sifa ya umasikini..niujinga uitwe mlala hoi halafu unashangilia..Inalillah waina illah rajuniTulia wewe, sisi wanyonge ndio wapiga kura wake. Msitusumbue au nasema uongo ndugu zangu?
Nikweli hakuna msafara wa kwenda Terminal Bus..kuna msafara wa kwenda uwanja wa ndege..WNARUHUS HVYO ILI WAKIPITA NA V8 WAPIGIWE MIRUZI.! WE USHAWAH KUONA VIONGOZI WANAKUJA TERMINAL ZA MIKOA KWA AJILI YA SAFARI? WANAJUA HYO MAUSAFIRI YTU WAO HAYAWAHUSU..😡
Sitendi sio sehemu ya biashara..ni sehemu ya usafiri. Hebu tusichanganye mada hapa..kule ni sehemu pekee ya kupata usafiri..kuuza na kununua ni MADUKANI na sio standi..nani aliye tuloga? Nani kasema msafiri lazima anunue kitu standi....mbona uwanja wa ndege hatununui wala kula kwa mama lishe??Ofsi sio sehemu inafanyika biashara
Stend ni sehemu ya watu kufanya biashara, ni haki ya kila mtu kufanya biashara, stend ni ya Watanzania wote maskini na tajiri, kama unaona huo ni uchafuzi na unakuboa, Jenga stend yako ama boresha nyumbani kwako pakuvutie ili uvinjali zaidi
Wanaingia bila utaratibu na kufanya biashara bila utaratibu. Unajua kidogo Mipango miji? Hakuna anayewachukia, tunachukia pale utaalamu umapozidiwa na wanasiasa. Hivi pale Congo kkoo kituo cha basi kimevamiwa na machinga hakuna tena pakrking ya daladala, njia za watembea kwa miguu kkoo ni majiko ta supu, na mamalishe, msongamano usiokuwa na sababu wakati tuna watu wa mipango miji, maafisa biashara n.k si AIBU hii.Kama hakuna utaratibu hao wamachinga wanaingiaje stand?
Au kwako utaratibu ni kuona wamachinga hawaruhusiwi kuingia stand🤔🤔🤔🤔
Zamani mtu akikuita mnyonge, ni tusi, ila awamu hii imelifanya kuwa ni sifa!!na ZUZU kuitwa mnyonge anajisikia rahaaa!!!Wanyongeeeeee....hili jina linanikera sana
Shauri yenu..mtaishia hadi kuuziwa mayai vinza ndo akili labda zitawarudia . hahahahaaaa.. jamani kila kitu ni bora kiwe ' terms and conditions' otherwise itakuwa vurugu tu..na ustaarabu na mipangilio makini na sheria kufuatwa ndo maendeleo yatakuwepo.Ona haoo acha niwaweke na ushahidi hao wazee wa kuzungumzia mambo bila kujua uhalisia wowote
mama D
Ova
View attachment 1715371
Si afadhali hata neno mnyonge kidogo lina heshima. Mtu anaitwa masikini..mlala hoi anashangilia na kupiga makofi. Jamani ni Upogo gani huu?? Mmesahau maneno matakatifu ya Mungu yakisema ...."Mungu hafanyi maagizo na Masikini?" Sasa vipi wanasiasa wanawaita masiki na mnashangilia...?? Wanyonge ..amina bwana..amakweli tumekuwa matutusa..sikamakwamba nawatusi..lahasha..mwajitusi wenyewe.Zamani mtu akikuita mnyonge, ni tusi, ila awamu hii imelifanya kuwa ni sifa!!na ZUZU kuitwa mnyonge anajisikia rahaaa!!!