Muonekano wa kihenga wa Tevin Campbell

Muonekano wa kihenga wa Tevin Campbell

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
kwa watoto waliozaliwa miaka ya hivi karibuni sio rahisi kumfahamu,labda wam-google.

huyu ni moja ya mwana-RnB aliyetamba sana katikati na mwishoni mwa miaka ya "tisaini"(nimeitamka kihenga) akiwa katika umri mdogo.

moja ya ngoma iliyompatia umaarufu ni
"can we talk" aliyoiachia mwaka 1993 ikiandikwa na fundi kenneth brian edmonds "babyface".unaweza kum-google babyface kama humfahamu vizuri.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

na huu ndio muonekano wa sasa wa muhenga tevin campbell.
d2090ffb1608acd70ded3ca546f4c4fd.jpg
4c78ee54da65e38f2ce4b06fa73992d8.jpg
39c863cc733c7c96db16423fe9ab4513.jpg
6c6b18c94dd922b01d0a7f46bc198865.jpg
37194a2610dd202bd3d2ec2adc01a8f4.jpg

NB:
miaka ile kwa sisi watoto tuliokulia "don tauni", ili upendwe na masista duu, ilikuwa angalau ujue kuimba vimistari viwili vitatu vya rnb za kina tevin, babyface, all4one, blackstreet, boyz2men and the like.
 
Dah hatimaye ana mvi,alisumbua sana kwenye zama zake za ujana.
 
kwa watoto waliozaliwa miaka ya hivi karibuni sio rahisi kumfahamu,labda wam-google.

huyu ni moja ya mwana-RnB aliyetamba sana katikati na mwishoni mwa miaka ya "tisaini"(nimeitamka kihenga) akiwa katika umri mdogo.

moja ya ngoma iliyompatia umaarufu ni
"can we talk" aliyoiachia mwaka 1993 ikiandikwa na fundi kenneth brian edmonds "babyface".unaweza kum-google babyface kama humfahamu vizuri.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

na huu ndio muonekano wa sasa wa muhenga tevin campbell.
d2090ffb1608acd70ded3ca546f4c4fd.jpg
4c78ee54da65e38f2ce4b06fa73992d8.jpg
39c863cc733c7c96db16423fe9ab4513.jpg
6c6b18c94dd922b01d0a7f46bc198865.jpg
37194a2610dd202bd3d2ec2adc01a8f4.jpg

NB:
miaka ile kwa sisi watoto tuliokulia "don tauni", ili upendwe na masista duu,ilikuwa angalau ujue kuimba vimistari viwili vitatu ya rnb za kina tevin,babyface,all4one,blackstreet,boyz2men and the like.

Alikuwa na hir yake moja "round and round " was a massive joint

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umetuletea mhenga mwenzetu ukiwa hai hili jambo la uhenga haliepukiki. Enzi hizo kama ulivyo dokeza ilikuwa khatari ukitaka kung'oa demu mkali basi weye unatembea na novel umeitia mfuko wa nyuma inaonekana mzee chase alitubeba sana na ukianza na kutupia vibao hivi ilikuwa mtama kwa watoto.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kunawakati kilifumwa kinaliwa denda na asikari polisi wakiume.. duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mengine ni issue zake binafsi....atajijua yeye na maisha yake.

ila kimziki jamaa alikuwa yupo vizuri sana.

kuna conspiracy theories za hapa na pale zikihusishwa na kushuka kwake kwa umaarufu akiwa bado na talanta yake ya hali ya juu ya kimziki.
 
Back
Top Bottom