kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
kwa watoto waliozaliwa miaka ya hivi karibuni sio rahisi kumfahamu,labda wam-google.
huyu ni moja ya mwana-RnB aliyetamba sana katikati na mwishoni mwa miaka ya "tisaini"(nimeitamka kihenga) akiwa katika umri mdogo.
moja ya ngoma iliyompatia umaarufu ni
"can we talk" aliyoiachia mwaka 1993 ikiandikwa na fundi kenneth brian edmonds "babyface".unaweza kum-google babyface kama humfahamu vizuri.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
na huu ndio muonekano wa sasa wa muhenga tevin campbell.
NB:
miaka ile kwa sisi watoto tuliokulia "don tauni", ili upendwe na masista duu, ilikuwa angalau ujue kuimba vimistari viwili vitatu vya rnb za kina tevin, babyface, all4one, blackstreet, boyz2men and the like.