ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇
My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana.
======
Scania Tanzania wameandika hivi kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii:
Habari wadau!
Huu ndio muonekano mpya wa basi la BRT kutoka Scania na Marcopolo! Hivi karibuni litaongezwa kwenye kikosi cha DART. Safari yako ya kila siku sasa inapata sura mpya, basi hili siyo tu la kuvutia, bali ni la kisasa kabisa!
Tazama video hii uone muundo wa nje wa basi hili, linaloleta mabadiliko kwenye usafiri wa umma Dar es Salaam. Endelea kufuatilia kwa maelezo zaidi! 🚍