Ila siku ya kuondoka ikifika haijali muonekano wako wala pesa inakuwa ni swafari tu kwa Sir GodSiku hizi sio lazima plastic surgery, kuna non surgical na matokeo inaonekana ni mazuri japo wanasema sio permanent! Kama una miaka hiyo jitahidi uwe na muonekano kama wa age mate wako madonna π π
Bado analipa kabisaView attachment 1966039
Kuna mtakao kumbuka album ya Borderline miaka ya 80. Huyu ndiye Malkia wa Pop music.
Sina uhakika sana kwenye hilo, kama muonekano wa marehemu ungekuwa hauna umuhimu watu wasingekuwa wanawaogesha vizuri, wanafanyia mpaka na makeup, hata hivyo mambo hayo yanategemea zaidi na utamaduni wa wahusika!!Ila siku ya kuondoka ikifika haijali muonekano wako wala pesa inakuwa ni swafari tu kwa Sir God
mmh yote hiyo ni kujaribu kukikwepa kifo!!Pamoja na hayo yote anafanya mazoezi sana hasa yoga, ana dietitian wa kumshauri vyakula vya kila siku.
acha wapendeze niko bunju hapa asb nimechota maji sahizi nakuta chini mchanga umeganda ,najiuliza maji ya dawasa huu mchanga unatoka wapi Tena
Hayo maji yana kitu gani ndani yake?duuuu
according to google 1litre ya maji ya Evian ni usd13.99
Ungeelezea kidogo hio adrenochrome ni nini na inahusiana vipi na hizo ishara?dunia ina siri nyingi;
nyingine ni mbaya.
Ukishakuwa na mtu wa aina hii:
View attachment 1966498
Utasema ni mazoezi na yoga, lakini
kumbe ni adrenochrome.
Hicho ndicho kinawafanya wengi wao waendelee kuonekana na sura za kitoto.
Pension ipi?Sasa hivi anakula pension yake polepole.Naapa kupigana dhidi ya haya maisha angali nikiwa kijana.Heri kufa kuliko kutokujaribu.
Huyu pesa inatumika vema aisee. Ni katika watu wanaozitafuta na kujua kutumia. Hashindwi kubadili huo uso akabandikwa mwingineView attachment 1966039
Kuna mtakao kumbuka album ya Borderline miaka ya 80. Huyu ndiye Malkia wa Pop music.
hizo ni ishara za wale wajiitao wajenzi huru.Ungeelezea kidogo hio adrenochrome ni nini na inahusiana vipi na hizo ishara?
Du hii dunia ina mengi,na kama hizi habari zao za kuiba watoto zinajulikana kwanini hawakamatwi?hizo ni ishara za wale wajiitao wajenzi huru.
Nchini marekani watoto takribani 800,000 hupotea kila mwaka.
Asilimia kubwa hupelekwa kwenye maficho ya hawa watu.
adrenochrome ni kemikali inayozalishwa na kongosho.
Unaposhituka sana na kujikuta umepanda juu ya mti mrefu bila kujua, ni kwa sababu
ya kuzalishwa kwa hiyo kemikali.
Ili watoto hawa wazalishe hiyo kemikali kwenye damu zao,
HUTESWA SANA kwa kila namna.
Kisha wanagema damu yao,
halafu hawa waabudu shetani wanakunywa.
Hicho ndicho kinachowapa ujana wengi wao.
hawakamatwi kwa sababu wao ndio wanaomiliki vyombo vya habari, wamo bungeni, wamo kwenye CIA, wamo kwenye mahakama na kile eneo muhimu. Ndio maana wamefika mahali sasa wameamua kupunguza wanadamu waziwazi - japo bado wengi pia hawajui.Du hii dunia ina mengi,na kama hizi habari zao za kuiba watoto zinajulikana kwanini hawakamatwi?
sijui but inaelekea 'Evian' ni brand kubwaHayo maji yana kitu gani ndani yake?
Hapa umemaanisha Nini dadaMambo ya pesa, Madonna ana supply ya maji ya Evian kwa matumizi ya yandani ikiwemo swimming pool.