God have Mercy on Usukimwi unamtafuna si wembamba uo
Hupitwi mjukuu loh..[emoji23][emoji23][emoji23]Picha ziko wapi sasa?
Wee babu naanzaje kupitwa? Wakati umbea na ufukunyuku ndo shibe yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]Hupitwi mjukuu loh..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimuuliza Instagram akaniambia ni mimi@jinikashkash 😅😅Nani kaiba tako la wema ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahah, Bibi mwendaKweli aisee, + yale makope aliovaa = yule bibi anaeigizaga uchawi sazote[emoji852][emoji852]