Muonekano wa Wema Sepetu wazua gumzo mitandaoni, Mashabiki wamuandama na kumwambia maneno haya

Muonekano wa Wema Sepetu wazua gumzo mitandaoni, Mashabiki wamuandama na kumwambia maneno haya

wana JF

Nikikumbuka zile fashion ya nguo yake ya nguva aliyoitoa miaka mitatu iliyopita basi nabaki nashangaa baada ya kuona wema akiwa amevaa nguo za mgambo za vijana wa ccm, niliona uchungu mno kwani hiyo zigo la aja lilikuwa ni simulizi dar, tena kuna siku alilichezesha kwenye mziki mmoja wa daiamond hadi zari kiliwaka kinoma huko south mpaka daia akaiingia kwenye mzozo mkali kuwa anataka kurejesha mausiano. baada ya muda zari akatoa ua jeusi kuashiria kuachana na diamond kuwa amemsaliti.
 
Kweli aisee, + yale makope aliovaa = yule bibi anaeigizaga uchawi sazote☹☹
 
Kwani nani kamuambia kwamba wembamba ndio wanavaa kila aina ya nguo
Atakuwa hajui DERA huyu
 
Back
Top Bottom