Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019, now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri