Muonekano wangu ndio tatizo

Mdada mzuri kuna mwenzio tulisoma nae alikuwa anatokeo huko kaskazini tena Arusha tulimsema mpaka akabdilika sasa mwaka mmoja baadae tulivyomaliza chuo tulipoteana ila palikuwa na jamaa wa huko na yupo njema kiuchumu nilisikia yupo tayari kumuoa.

Mdada kubadilika sio dhambi hyo kanda yenu wanawake wengi hwafurahii malezi ya kike kutokana na mazingira so jaribu kubadilika na pia mamitumba haya kwa wanawake vaa Vishati, magauni ,suruali za kawaida pana ila sio majeans.

Jipende sana then jaribu kuwa na lugha mzuri na mwendo uwe smart nyie lugha yenu ina noise sana yaani haina ustaarabu mtu anaweza kuwa anaongea kawaida ila kama muhuni kifupi kwa wanaume safi ila wanawake haipendezi jaribu kukaa sana na wadada wenzio.



kingine nyuzi zako za ufeminist ufute kabisa waombe wahusika tena temana nayo mambo ya ufeminist hiyo kanda yenu ndo vinara.
 
Ushauri wangu tafuta bwana akuoe au beba mimba uwafumbe mdomo.
 
Uhandishi[emoji777], kweri[emoji777]
 
Wajinga wapo wengi sana. Umesomea habari na hujitambui
 
Sasa si ubadilike mbona rahisi
 
"Mhandishi" wa habari acha vituko.Umeshajua changamoto zako ni zipi.Sasa ndiyo ubadilike na kujiweka kama mwanamke.Utamaliza utata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…