Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
Wale tiGo
 
Ushauri
Acha ufala, haya ya kujiona mzuri hadi kujionea aibu ndio yanafanya wakukimbie. Stop feminine character
 
JF wanaume wazuri hatari, wanawake sasa!!! Maana wanawake hawajawahi kujianzishia uzi kwamba wao ni wazuri, na hata wakianzishiwa uzi ni wakupondwa tu, wabaya, vizee 🤣
Wanasema sisi ni mashangazi tuna sura za baba...tunawaangalia tunasema hiiiiii......
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
mimi nina 168cm na siringi😂😂
 
Back
Top Bottom