Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

asante kwa ushaur mzuri
Though taking care of a woman should rest on us, But girls don't take that for granted sometimes there is ups and downs. If am down will you still love me?
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
Focus kwa kujiongezea thamani wanaweka wangekuwa wanaangalia sura Mzee Wasira na Marehemu mzee Mengi wasingepata. Maku.
 
Pole kwa uzuri mkuu
Naona urembo umekuelemea

Anyway unamjua Remy Ongalla naenda kama Remy Ongala Jr na Ikifika mwsho wa mwezi Simu yangu inaita had inaisha charge
 
Though taking care of a woman should rest on us, But girls don't take that for granted sometimes there is ups and downs. If am down will you still love me?
Yes I will if possible 😎
 
Umeandika nilichotaka kuandika. Siku hizi nyuzi za wana kujisifia urembo humu JF zimekuwa nyingi. Zamani hata sisi wakurungwa huwezi kukuta mwanaume anajisifia au huwezi kumwambia mwanaume mwenzako kwa kumsifia uzuri au eti umemmiss.
Siku hizi mambo ya vijana yamekuwa ya kulegealegea tu
Utakuta mtu analeta uzi wanawake kitu gani kifanya mtupende sisi wanaume? What's the fu*vcK. This 2000's generation sijui imekosa madini ndio hivi mtu anajisifia sura.
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
Jaribu wanaume kama wanawake wanazingua
 
Fanya mambo mengine kama kilimo, biashara, uvuvi n.k.

Siku ukipata muonekano mpya ndio urudi kwenye mahusiano
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
Tupia picha yako kwanza
Ushauri utafuata
 
Back
Top Bottom