Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Tafuta hela achana na huo ufupi. Hela ni kila kitu
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
Taasisi ya Kapuya imekuharib sana aisee!
 
😂😂😂🤣
 

Attachments

  • 9418b50b12c043cea5cd8ffac2963b28.mp4
    45.8 MB
Kiufupi wewe ni mfupi,japo sio kama mzee pimbi!yule wa gazeti la sani,kimuonekano utakuwa kama Lodi rofa,ndio maana wadada wanakugombania
 
Back
Top Bottom