Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee

Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye mahusiano wivu mwingi sana ugomvi kila siku huku wakinituhumu kuwa nina wanawake wengi kitu ambacho sio kweli. Sasa sijui nifanyeje wanawake nawapata ila ndo hvo sidumu nao maana kil siku kelele naona bora tuu tuachane yaani.

Please msi notice vibaya aisee nilikua naomba tuu ushauri nifanyeje
Una shida sehemu wewe🤔
 
Another Man Down 😤
 
Weka picha mkuu itapendeza sana , ukiweka mada kukisifia au kukikosoa kitu na hujaweka picha bado hatuwezi kuamini kama unachosema ni kweli tutaona unatupanga tu
 
ila jf wanaume wanajisifia uzuri wao kuliko hata wanawake,,,oyaaaa nyie tumehama sasa hautaki mahandisamu ni maokotoooo
Umeandika nilichotaka kuandika. Siku hizi nyuzi za wana kujisifia urembo humu JF zimekuwa nyingi. Zamani hata sisi wakurungwa huwezi kukuta mwanaume anajisifia au huwezi kumwambia mwanaume mwenzako kwa kumsifia uzuri au eti umemmiss.
Siku hizi mambo ya vijana yamekuwa ya kulegealegea tu
 
yani sijui wamevurugwa nini,,au ndo style mpya ya kutongoza vitoto vya 2000
 
Back
Top Bottom