Upate connection zao vizuri. Wengi wao huwa wanawapa kazi madereva wao ya kuuza na mwisho wa siku madereva wanawatonywa madalali au wenyewe wanakuwa madalali. Hii kitu huwa inaboa sana.....Kuna mdau fulani anahusika sana na magari aliniambia kama unataka gari ya kununua hapa bongo bora ununue kwa wahindi au waarabu wa kkoo. Wale jamaa wanatunza sana magari yao halafu pia hayapati dhoruba sana kama haya mengine. Utakuta gari inazunguka hapohapo kkoo au posta na upanga.
Na pia hao jamaa wanauza gari nzuri sana kwa bei chee kwasababu wanataka kuleta nyingine mpya zaidi.
Kwa kuongezea tu. Kuna gari zimeingizwa ila usajiri zinatumia wa gari ambazo zimeshasajiriwa ila hazipo barabarani tena. Aidha kwa ajari au changamoto zinginezo.Katika hizo, namba 8 na 10 zimenikuna. Unakuta mtu ana nunua gari namba C limechoka vibaya! Kwa wanaojua gari, body na Engine na Gear Box ni vitu vya msingi sana. Unakuta gari ni namba C lakini body limetoboka hadi unajiuliza kulikoni.
Watanzania wanapaswa kuelewa kwamba zile namba B,C, na D kwa sasa ni herufi tu na ni kiashiria kuwa gari limeingia nchini limekuta mfululizo gani wa namba( number Serie) lakini haina maana upya wa gari!
Haa😁😂Kwa budget hiyo nakuuzia hii hapa mkuu wanguView attachment 1526618
Nashukuru mkuuHow to Buy a Used Car: Interior & Exterior Inspection.
Yes. Ila for anyone in computer science it is actually pretty easyInahitaji utaalam kidogo.