Mi breki ya kwanza ilikuwa Bagamoyo. Mafuta niliweka Full Tank. Nimefika Bagamoyo,napata bia huku funguo za gari nazichezea mezani. Kurudi nikajaza tena Full Tank ndo nikapaki. Gari mpya kwanza kumiliki nani kakudanganya inapakiwa bila wese la kutosha?? Afu kabla hujapaki shurti ulifutefute lisije kulala na mivumbi...... Mkwala wote huo gari yenyewe Toyota Starlet. Utanitaka....:smile-big::smile-big::smile-big:
Yaani hata nanunua vitz niende kuulizia interpol hata wao watanishangaa
Mkuu "suala la kuisaidia polisi" halina dogo hata kama unanunua baiskeli phonix!!....ngoja udakwe na gari ambalo liliibiwa uone shughuli yake. Hata kama wewe uliuziwa lakini mpaka ije ionekane hivyo ujue muda na pesa vimekutoka
Mi breki ya kwanza ilikuwa Bagamoyo. Mafuta niliweka Full Tank. Nimefika Bagamoyo,napata bia huku funguo za gari nazichezea mezani. Kurudi nikajaza tena Full Tank ndo nikapaki. Gari mpya kwanza kumiliki nani kakudanganya inapakiwa bila wese la kutosha?? Afu kabla hujapaki shurti ulifutefute lisije kulala na mivumbi...... Mkwala wote huo gari yenyewe Toyota Starlet. Utanitaka....:smile-big::smile-big::smile-big:
Ha ha ha usijidai ulihakikisha unaigonga siku hio hio....kubali kiherehere cha gari ya kwanza kilikufanya uibamize siku hio! Sipati picha unakuwa na hali gani!
Pia matumizi ya huyo mtu anayeuza hilo gari na condition ya gari alipolinunua iwe ni toka nje au showroom. Gari inaweza kua ni A au B, lakini ikawa bora kuliko yenye namba za C au D. Hiyo point namba 8 ya mleta mada inahoja nzito sana ktk ununuaji wa gari kutoka kwa mbongo.
tupo pamoja kaka.....ila namba ya gari yako imenivunja mbavu! T200 ASS
Yaani hata nanunua vitz niende kuulizia interpol hata wao watanishangaa