MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

RRONDO,
Kwa mtaji huo basi mtu unaweza kuuziwa gari lenye mileage nyingi kirahisi sana huku ukiambiwa na kuaminishwa halijaenda mileage.

Odometer fraud ni mbaya sana.
 
Kwa mtaji huo basi mtu unaweza kuuziwa gari lenye mileage nyingi kirahisi sana huku ukiambiwa na kuaminishwa halijaenda mileage.

Odometer fraud ni mbaya sana.

Hilo linafanyika sana! Lakini mileage nyingi sio issue as long as gari limehudumiwa vizuri! Wengi wanauziwa magari mabovu kwa kuangalia low mileage,kuna vitu vingi vya kuangalia zaidi ya odometer readings.
 
imagine mwenye gari yuko goba huko anakwambia mkamalize biashara kwake!

Mkuu kweli kubeba hela ni nuksi, ila hata hii ya kumuwekea mtu hela kwenye account kabla hujakabidhiwa mzigo ni shida kuna kituko kilimtokea jamaa yangu wakasumbuana sana na muuzaji. Labla ungetueleza utaratibu mzuri wa kufanya malipo na mkabidhiano ili mwisho wa cku watu wasijeumia.
 
Mnasaini makubaliano mbele ya mwanasheria na mwenye gari then mnaenda benki kuweka hela then ndo mnapeana mikataba yenu.
 
Mnasaini makubaliano mbele ya mwanasheria na mwenye gari then mnaenda benki kuweka hela then ndo mnapeana mikataba yenu.
Bob Kawari umesoma hii quoted post?! Unaenda benki muuzaji akiwa na gari,documents zote unaenda kudeposit hela kwenye akaunti yake anakukabidhi funguo! Mara nyingi wapigaji akikuona unafuata hizi taratibu anapotea.
 
Wakuu ingekua vizuri mtupe na utaratibu wa kufuata tunaponunua magari kwenye Yard zetu huku Bongo.

Yard nyingi wako straight. Ila taratibu kidogo nyepesi
1.angalia gari unayoitaka ukiagiza ni bei gani na ukinunua yard bei gani. Mara nyingi bei ya yard iko juu,sasa angalia kilichozidi kina worth time wasting na inconveniences za bandarini,tra etc?

2.nenda na fundi akague gari uitakayo kabla na baada ya kuilipia.

3.yard za kueleweka mara nyingi wanakupa akaunti yao ulipie benki baada ya hapo kesho take tu wanakupa gari na kadi yenye jina lako.

Epuka vi yard vyenye gari mbili tatu!
 
Uliichoandika kina msaada kwa kila mmoja mwenye ndoto ya kumiliki gari lakini vilevile hata kwa kumshauri ndugu jamaa au rafiki
Binafsi nikupongeze RRONDO kwa Uzi huu murua
Nna ndoto ya kumiliki gari maana naona kabisa usafiri wa umma si rafiki tena kwangu
 
Yard nyingi wako straight. Ila taratibu kidogo nyepesi
1.angalia gari unayoitaka ukiagiza ni bei gani na ukinunua yard bei gani. Mara nyingi bei ya yard iko juu,sasa angalia kilichozidi kina worth time wasting na inconveniences za bandarini,tra etc?

2.nenda na fundi akague gari uitakayo kabla na baada ya kuilipia.

3.yard za kueleweka mara nyingi wanakupa akaunti yao ulipie benki baada ya hapo kesho take tu wanakupa gari na kadi yenye jina lako.

Epuka vi yard vyenye gari mbili tatu!
Hizi zimejaa Kinondoni hasa Mango Garden
 
Wasiliana nami au mtu mwingine yeyote utakayemuamini

Usiogope Mwanangu mm nilipofikia Hatua ya kununua gari nilitulia sana kwanza kablayakununua mwaka 1 nilifanya window shopping karibuu 3, then ilipofka nilikwenda Ma fund Dereva kutoka mkoani kwangu.

Nikaanza mwenyewe window shopping kutoka manyanya yard hadi AAR hosp had US Embassy pale, Nikachua muda Wa sku zngne 3 Na mke wangu tukifunga nakumuomba Bwana atupe gari bora. Wapambe ni Wengi had ktk family take care. Baada ya maombi nikaenda yard pale AAR+ nikapata ki Carina changu bomba kiulaiiinii namwita fund kakikubali. Nikaacha ktambulisho changu cha kaz Kama dhamana nikaenda kulipia huku nyuma kuna mchaga m1 kakipenda.

Maana ilikuea December 2015 lkn huku nyuma ktambulisho cha usalama kikawaogopesha wahindi wale hawakumpa mchaga. Hadi Leo kla anayekiona anaksifia Carina yang mpaka basi. Muombe mungu naye hatakutupaa. Carina hii ni roho ya paka namshukuru mungu. USIOGOPE
 
Usiogope Mwanangu mm nilipofikia Hatua ya kununua gari nilitulia sana kwanza kablayakununua mwaka 1 nilifanya window shopping karibuu
*3 then ilipofka nilikwenda Ma fund Dereva kutoka mkoani kwangu. Nikaanza mwenyewe window shopping kutoka manyanya yard hadi AAR hosp had US Embassy pale, Nikachua muda Wa sku zngne 3 Na mke wangu tukifunga nakumuomba Bwana atupe gari bora. Wapambe ni Wengi had ktk family take care. Baada ya maombi nikaenda yard pale AAR+ nikapata ki Carina changu bomba kiulaiiinii namwita fund kakikubali. Nikaacha ktambulisho changu cha kaz Kama dhamana nikaenda kulipia huku nyuma kuna mchaga m1 kakipenda. Maana ilikuea December 2015 lkn huku nyuma ktambulisho cha usalama kikawaogopesha wahindi wale hawakumpa mchaga. Hadi Leo kla anayekiona anaksifia Carina yang mpaka basi. Muombe mungu naye hatakutupaa. Carina hii ni roho ya paka namshukuru mungu. USIOGOPE
Van dick naamini ulikusudia kumjibu Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom