MUCOS
Member
- Jun 24, 2024
- 99
- 357
Salamu kwenu wakuu
Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.
Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji yangu kama ifuatavyo.
a. Sehemu isiyo ya ushuani na sio uswahilini. Natamani iwe eneo la watu wa uchumi/uwezo wa kati/wastani.
b. Sehemu ambayo kuna shule za sekondari nyingi zilizopo karibu karibu. Ziwe ni shule za serikali na watu binafsi.
c. Sehemu yenye population ya kutosha. Inayoweza kukubali biashara za mazao pamoja na biashara ya vyakula mfano wa migahawa
d. Nyumba za kupanga kwa bei ya wastani kati ya 50-60 kwa chumba kimoja.
e. Uhakika wa usafiri na huduma za kijamii.
Asanteni sana wakuu. Busara na hekima zenu zinahitajika sana. Naomba kuwasilisha