Muongozo tafadhali wa pahali pazuri pa kuishi Dar es salaaam

Muongozo tafadhali wa pahali pazuri pa kuishi Dar es salaaam

Chamazi, mbande, kivule,kitunda, chanika,kimara patakufaa
Kuna nyumba mpya na bei hazijawa kubwa kihivyo
Kuna population unayotaka
Sio ushuani kihivyo
 
Chamazi, mbande, kivule,kitunda, chanika,kimara patakufaa
Kuna nyumba mpya na bei haijawa kubwa kihivyo
Kuna population unayotaka
Sio ushuani kihivyo
Asante sana mkuu. Naomba kuuliza kama hutojali, hiyo nyumba ipo sehemu ipi kati ya hizo ulizotaja na bei yake ni ngapi?
 
Chamazi, mbande, kivule,kitunda, chanika,kimara patakufaa
Kuna nyumba mpya na bei hazijawa kubwa kihivyo
Kuna population unayotaka
Sio ushuani kihivyo
Hapo swhemu ya kuishi ni kimara tu,kwingine kote hakufai
 
Ok kiongozi. Tafadhali naomba unishauri kwa mahitaji yangu hapo juu ni eneo lipi zuri na kodi yake ni shilingi ngapi?
nenda mbagala ukifika azam complex kulia iyo bara bara sijui inaenda mbagala ipi ila kuna sehemu ukifika inakataa kulia tena unaingia ndani ndani kidogo kuna mtaa una shule za msingi na sekondari zipo karibu karibu shule kama nne hivi
 
Mkuu hapo umemaliza. Shukrani sana? Kama hutojali, vipi kuhusu gharama za chumba kimoja?.. na population ipo kwa kiasi fulani ee?
Population ipo ya kutosha,watu wastaarabu,mzunguko wa hela upo sana tu
Japo bei ya vyumba imechangamka ila ni rahisi kupata chumba kizuri kulingana na bajeti yako,kuanzia 50,000 mpaka 100,000
 
nenda mbagala ukifika azam complex kulia iyo bara bara sijui inaenda mbagala ipi ila kuna sehemu ukifika inakataa kulia tena unaingia ndani ndani kidogo kuna mtaa una shule za msingi na sekondari zipo karibu karibu shule kama nne hivi
Asante sana mkuu. Nimekupata vema kabisa. Ubarikiwe sanaa
 
Back
Top Bottom