MUCOS
Member
- Jun 24, 2024
- 99
- 357
- Thread starter
- #61
Mkuu Asante sana kwa kuweka sawa haya mambo. Nitazingatia ushauriDaa watu wanakushauri hadi sinza yaani ukipata chumba kwa bei hiyo labda ukute kina vuja au mvua ikinyesha kina jaza maji ndani.
Kutokana na maekezo yako
1.Goba
2.Kimara
3.Mbezi magufuli
4.Tegeta hadi Bunju
Chagua hayo maeneo usafiri upo wa kutosha.
Sio uswahilini au ushuani sana, bei ya vyumba ni moderate 70000 unapata chumba kizuri.
Hakuna waunu wauni saana, population pia ipo