Muongozo tafadhali wa pahali pazuri pa kuishi Dar es salaaam

Population ipo ya kutosha,watu wastaarabu,mzunguko wa hela upo sana tu
Japo bei ya vyumba imechangamka ila ni rahisi kupata chumba kizuri kulingana na bajeti yako,kuanzia 50,000 mpaka 100,000
Mkuu Asante sana. Umemaliza duku duku langu. Ubarikiwe sanaa.
 
Kama hauna familia nenda Tandika Temeke

-Usafiri utapata
-Chumba cha bajeti ya 50-60k
utapata
-eneo kuhusu mgahawa na Biashara
utapata pia

Changamoto
Wizi -hakikisha unafunga chumba chako hata ukienda dukani au kuoga

Maadili - mitaa Bangi wanavuta Sana hivyo kukuta mtoto wa miaka 13+ anavuta bangi ni kawaida.

Kujiuza na udangaji - huku hayo mambo ni ya kawaida.

Nini ufanye Tafuta nyumba amabayo haina wapangaji wa kike wengi .

Jitahidi ujitenge na makundi ya vijana wewe wasalimie Ila usijenge nao bond kubwa .

Usitembee na mwanamke unayekaa nae mtaa mmoja .

Jiepushe na wake za watu -siku wanakutegea mke wa MTU unafumaniwa na unapigwa hela bure bure.
 
Kiongozi huu ushauri umeshiba sana. Asante sana mkuu
 
Kwa mwalimu wa shule za umma mnamshauri aishi maeneo yapi?

Labda ndio anatarajia kuhamia Dar
 
Salamu kwenu wakuu

Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.

Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji yangu kama ifuatavyo.

a. Sehemu isiyo ya ushuani na sio uswahilini. Natamani iwe eneo la watu wa uchumi/uwezo wa kati/wastani.

b. Sehemu ambayo kuna shule za sekondari nyingi zilizopo karibu karibu. Ziwe ni shule za serikali na watu binafsi.

c. Sehemu yenye population ya kutosha. Inayoweza kukubali biashara za mazao pamoja na biashara ya vyakula mfano wa migahawa

d. Nyumba za kupanga kwa bei ya wastani kati ya 50-60 kwa chumba kimoja.

e. Uhakika wa usafiri na huduma za kijamii.

Asanteni sana wakuu. Busara na hekima zenu zinahitajika sana. Naomba kuwasilisha
yote kwa yot ujuwe kwanza kazi zako zitakuwa ni wap kama na angalia uwezo wa kupat maeneo mazury bila kutumia udafiri itapenxeza zaid
 
Daa watu wanakushauri hadi sinza yaani ukipata chumba kwa bei hiyo labda ukute kina vuja au mvua ikinyesha kina jaza maji ndani.
Kutokana na maekezo yako
1.Goba
2.Kimara
3.Mbezi magufuli
4.Tegeta hadi Bunju
Chagua hayo maeneo usafiri upo wa kutosha.
Sio uswahilini au ushuani sana, bei ya vyumba ni moderate 70000 unapata chumba kizuri.
Hakuna waunu wauni saana, population pia ipo
 
Salamu kwenu wakuu

Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.

Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji yangu kama ifuatavyo.

a. Sehemu isiyo ya ushuani na sio uswahilini. Natamani iwe eneo la watu wa uchumi/uwezo wa kati/wastani.

b. Sehemu ambayo kuna shule za sekondari nyingi zilizopo karibu karibu. Ziwe ni shule za serikali na watu binafsi.

c. Sehemu yenye population ya kutosha. Inayoweza kukubali biashara za mazao pamoja na biashara ya vyakula mfano wa migahawa

d. Nyumba za kupanga kwa bei ya wastani kati ya 50-60 kwa chumba kimoja.

e. Uhakika wa usafiri na huduma za kijamii.

Asanteni sana wakuu. Busara na hekima zenu zinahitajika sana. Naomba kuwasilisha
Jaribu
1.Madale (Kisa uke)
2.Mbopo
3.Msumi
 
Mkuu hapo umemaliza. Shukrani sana? Kama hutojali, vipi kuhusu gharama za chumba kimoja?.. na population ipo kwa kiasi fulani ee?
Chumba safi Bima-120,000 nje ya hapo utapata nyumba za kukuu na hovyo
 
Population ipo ya kutosha,watu wastaarabu,mzunguko wa hela upo sana tu
Japo bei ya vyumba imechangamka ila ni rahisi kupata chumba kizuri kulingana na bajeti yako,kuanzia 50,000 mpaka 100,000
100000+ atapata chumba
 
Salamu kwenu wakuu

Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.

Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji yangu kama ifuatavyo.

a. Sehemu isiyo ya ushuani na sio uswahilini. Natamani iwe eneo la watu wa uchumi/uwezo wa kati/wastani.

b. Sehemu ambayo kuna shule za sekondari nyingi zilizopo karibu karibu. Ziwe ni shule za serikali na watu binafsi.

c. Sehemu yenye population ya kutosha. Inayoweza kukubali biashara za mazao pamoja na biashara ya vyakula mfano wa migahawa

d. Nyumba za kupanga kwa bei ya wastani kati ya 50-60 kwa chumba kimoja.

e. Uhakika wa usafiri na huduma za kijamii.

Asanteni sana wakuu. Busara na hekima zenu zinahitajika sana. Naomba kuwasilisha
Mbagala rangi tano
 
Back
Top Bottom