Mkuu Asante sana. Umemaliza duku duku langu. Ubarikiwe sanaa.Population ipo ya kutosha,watu wastaarabu,mzunguko wa hela upo sana tu
Japo bei ya vyumba imechangamka ila ni rahisi kupata chumba kizuri kulingana na bajeti yako,kuanzia 50,000 mpaka 100,000
Kiongozi huu ushauri umeshiba sana. Asante sana mkuuKama hauna familia nenda Tandika Temeke
-Usafiri utapata
-Chumba cha bajeti ya 50-60k
utapata
-eneo kuhusu mgahawa na Biashara
utapata pia
Changamoto
Wizi -hakikisha unafunga chumba chako hata ukienda dukani au kuoga
Maadili - mitaa Bangi wanavuta Sana hivyo kukuta mtoto wa miaka 13+ anavuta bangi ni kawaida.
Kujiuza na udangaji - huku hayo mambo ni ya kawaida.
Nini ufanye Tafuta nyumba amabayo haina wapangaji wa kike wengi .
Jitahidi ujitenge na makundi ya vijana wewe wasalimie Ila usijenge nao bond kubwa .
Usitembee na mwanamke unayekaa nae mtaa mmoja .
Jiepushe na wake za watu -siku wanakutegea mke wa MTU unafumaniwa na unapigwa hela bure bure.
yote kwa yot ujuwe kwanza kazi zako zitakuwa ni wap kama na angalia uwezo wa kupat maeneo mazury bila kutumia udafiri itapenxeza zaidSalamu kwenu wakuu
Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.
Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji yangu kama ifuatavyo.
a. Sehemu isiyo ya ushuani na sio uswahilini. Natamani iwe eneo la watu wa uchumi/uwezo wa kati/wastani.
b. Sehemu ambayo kuna shule za sekondari nyingi zilizopo karibu karibu. Ziwe ni shule za serikali na watu binafsi.
c. Sehemu yenye population ya kutosha. Inayoweza kukubali biashara za mazao pamoja na biashara ya vyakula mfano wa migahawa
d. Nyumba za kupanga kwa bei ya wastani kati ya 50-60 kwa chumba kimoja.
e. Uhakika wa usafiri na huduma za kijamii.
Asanteni sana wakuu. Busara na hekima zenu zinahitajika sana. Naomba kuwasilisha
JaribuSalamu kwenu wakuu

Chumba safi Bima-120,000 nje ya hapo utapata nyumba za kukuu na hovyoMkuu hapo umemaliza. Shukrani sana? Kama hutojali, vipi kuhusu gharama za chumba kimoja?.. na population ipo kwa kiasi fulani ee?
100000+ atapata chumbaPopulation ipo ya kutosha,watu wastaarabu,mzunguko wa hela upo sana tu
Japo bei ya vyumba imechangamka ila ni rahisi kupata chumba kizuri kulingana na bajeti yako,kuanzia 50,000 mpaka 100,000
Sina uhakika sana ika najua bima vyumba self vitakuwa juu sana100000+ atapata chumba
🤣🤣🤣Haha haha haha nisamehe kwa misunderstanding. Nikajua wewe ni dalali. Haha haha haha
Uko sahihi mkuu.Sina uhakika sana ika najua bima vyumba self vitakuwa juu sana
Pale patamu sana unakula bia huku manzi zinaogelea mapaja nje nje,location iko rafiki sana,U
Uko sahihi mkuu.
Tukutane Small planet baadae
Jioni tukutane hapo mkuuPale patamu sana unakula bia huku manzi zinaogelea mapaja nje nje,location iko rafiki sana,
Nimekulia Tabata tangu 1983 siwezi kuhama
Niko mkoa mkuu narudi wiki inayo,msalimie Figo huyo muuza chipsi hapo njeJioni tukutane hapo mkuu
Mbagala rangi tanoSalamu kwenu wakuu
Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.
Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji yangu kama ifuatavyo.
a. Sehemu isiyo ya ushuani na sio uswahilini. Natamani iwe eneo la watu wa uchumi/uwezo wa kati/wastani.
b. Sehemu ambayo kuna shule za sekondari nyingi zilizopo karibu karibu. Ziwe ni shule za serikali na watu binafsi.
c. Sehemu yenye population ya kutosha. Inayoweza kukubali biashara za mazao pamoja na biashara ya vyakula mfano wa migahawa
d. Nyumba za kupanga kwa bei ya wastani kati ya 50-60 kwa chumba kimoja.
e. Uhakika wa usafiri na huduma za kijamii.
Asanteni sana wakuu. Busara na hekima zenu zinahitajika sana. Naomba kuwasilisha
We ni mwenyeji😂 mgeni hawez jua hayo maeneoOk. Asante sana kiongozi. Tabata ipi mkuu. Nifungulie kodi hiyo ili nikifika tu nijue naelekea Tabata shule, Tabata reli au Tabata kimanga
Nauli ya kwenda wapi? Yeye kakwambia anatakuwa anaelekea wapi?!Chagua kimoja
1. Kodi kubwa kisha nauli ndogo
2. Kodi ndogo kisha nauli kubwa