Muongozo tafadhali wa pahali pazuri pa kuishi Dar es salaaam

Mkuu Asante sana kwa kuweka sawa haya mambo. Nitazingatia ushauri
 
Hahha hahaha hahaha mkuu sio mwenyeji kihivyo..but kumbuka mm ni mwana JF. Kwa mtu makini wa JF anaweza kutambua hata mitaa yote ya USA kupitia JF. JF ni zaidi ya shule.
We ni mwenyeji😂 mgeni hawez jua hayo maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…