Ni kweli vitu kule ni very cheap!!! Ila ni mitumbanasikia laptop zanzibar ni bei rahis kuliko hapa Dar es salaam.kwa mwenye anaejua kama zina ubora atupie mrejesho.Pia zanzibar nasikia bei za redio.smart TV,flatscreen, mafriji na vifaa vingine vya umeme bei ni rahis na ni bora pia.kwa anayejua atupe mrejesho.Ahsanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ni Video Editing Jitahidi Utafute Pc yenye Processor Kubwa kama Core i5 au 7, Card iwe nvidia atleast GeForce 720 kuendelea kulingana na utavyopangilia Budget yakoLaptop ninayotumia kwa Video editing ni Acer Intel Celeron Processor 575(2.0ghz, 667Mhz FSB, 1MB L2 Cache)
15.4 WXGA LCD
Up to 220 MB Mobile Intel Graphics Media Accelerator 4500M
1GB DDR2
160 GB HDD
DVD-Super Multi DL
802.11b/g WLAN.
Naomba ushauli nitafute nyingine au naweza kuiboresha hihii nikaendelea kuitumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ya kujua kama hiyo Card ni Nvidia GeoFoce 720 nafanyaje?Kama Ni Video Editing Jitahidi Utafute Pc yenye Processor Kubwa kama Core i5 au 7, Card iwe nvidia atleast GeForce 720 kuendelea kulingana na utavyopangilia Budget yako
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Press Windows + R then type dxdiag then enter, nenda kwenye tab ya Display hapo itakupa taarifa zote kuhusu kadi yako
Dingi msada me nataka laptop ya kusomea na game hua nachezacomputer hazichaguliwi hivyo kuna cimputer ya kila namna zinazolenga watu tofauti tofauti. mpaka utaje vitu hivi ndio atleast mtu anaweza kukushauri
-budget yako
-unataka kuitumia kwa ajili gani
-software gani kubwa una plan kuitumia
Hp elitebook 8440p
700Gb
4Gb ram
i5
620,000/=
Contact 0779420000
Kwa budget hio labda used huwezi pata mpya inayocheza games, ila ukiongeza kidogo unaweza pata angalau i3 7th gen ama 8th gen itaplay games nyingi.Dingi msada me nataka laptop ya kusomea na game hua nacheza
Bajeti yangu ni 700,000
Napata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa budget hio labda used huwezi pata mpya inayocheza games, ila ukiongeza kidogo unaweza pata angalau i3 7th gen ama 8th gen itaplay games nyingi.
Safe budget kwa i3 ni 800k, chini ya hapo unapata ila inabidi utulie utafute, zipo laptop za i3 4th, 5th gen zinazoishiwa na U sio nzuri kwa gaming. Umekosa kabisa angalau i3 6th gen ila gen ya 8 ni nzuri zaidi (ni kama i7 ya gen ya 7) maana ina hyperthread na turboboost ambazo zinasaidia sana kwenye games.
Safe budget kwa i3 ni 800k, chini ya hapo unapata ila inabidi utulie utafute, zipo laptop za i3 4th, 5th gen zinazoishiwa na U sio nzuri kwa gaming. Umekosa kabisa angalau i3 6th gen ila gen ya 8 ni nzuri zaidi (ni kama i7 ya gen ya 7) maana ina hyperthread na turboboost ambazo zinasaidia sana kwenye games.
Kwa majina tafuta cpu hizi.
i3 6006u
i3 6100u
i3 7100u
i3 8130u
Hio 8130 ndio iwe top priority yako.
i3 8130u niliyokuandikia chini.
Ndio mkuu angalia specs za ndani jina halina umuhimu sana as long as ni kampuni ya kuaminika, Lenovo, HP, Dell, Asus, Acer, Toshiba etc
Poa chiefNdio mkuu angalia specs za ndani jina halina umuhimu sana as long as ni kampuni ya kuaminika, Lenovo, HP, Dell, Asus, Acer, Toshiba etc
Sorry chief ivi kwa processor iliyo ishia na H za sasa zinaweza kua na bajeti ya ka Tsh ngapi ivii3 8130u niliyokuandikia chini.
Labda 1.5m hivi kwa gen za kisasa, tena hio ni bei ya online haijakufikia huku, maana hata madukani kuzikuta ni mbinde.Sorry chief ivi kwa processor iliyo ishia na H za sasa zinaweza kua na bajeti ya ka Tsh ngapi ivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana chiefLabda 1.5m hivi kwa gen za kisasa, tena hio ni bei ya online haijakufikia huku, maana hata madukani kuzikuta ni mbinde.