Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Wadau napenda kujua LAPTOP
zilizokuwa bora kabisa.Ili nikiingia dukani niweze kuchagua LAPTOP ilokua bora na ipi ambayo haina kiwango cha ubora.
 
Nahitaji hp Omen 15 kwa anayefahamu inapoweza kupatikana.
 
Tafuta hp envy ni nzuri sana kama upo dar tembelea pale freedom communication
 
computer hazichaguliwi hivyo kuna cimputer ya kila namna zinazolenga watu tofauti tofauti. mpaka utaje vitu hivi ndio atleast mtu anaweza kukushauri
-budget yako
-unataka kuitumia kwa ajili gani
-software gani kubwa una plan kuitumia
 
Safi sana hii ni nzuri naomba baraka zako niiweke kwenye blog maana hii ni elimu ya kijasiriamali
GSHAYO
Inabidi uelewe kwanza ili ukiweka kwenye blog yako na ukaulizwa swali upate pa kuanzia. Au utamjibu na mimi nimeicopy some where?
 
WAKUU,, USHAURI WENU MIMI NI MWANACHUO MWAKA WA 2 EDUCATION. NAOMBA USHAURI LAPTOP GANI ITANIFAA KWA AJIRI YA KUSOMEA. IWE INADUMU NA CHAJI PIA. BAJETI YANGU TSH. 500000/=
 
Back
Top Bottom