Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?

I dont suggest HP they failed to find the way to cool their processor u better go for dell atleast iko poa ila Toshiba nayo batteries zake cells hua zinakwisha nguvu mapema mno
 
asantenh ila ingukuwa vizur na kutaja ubora wake na mapungufu yake

Upande wa hardware ziko vizuri.
Vile vile vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi na karibu na eneo ulipo.

Upande wa software zipo nyingi kweny tovuti zao
Hutasumbuka kuzipata.

Ni ww tu.
 
Nakushauri ununue samsung, yangu nilinunua mwaka jana may, mpaka sasa inapiga mzigo na chaji inatunza zaidi ya 3hrs...

dell zinazingua sana hasa betri na cd-rom
 
Ooyooo sawa lakini hujaweka picha na bei yake hibu jitahidi
 
nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?

Usiulizie bei kabla hujajua mahitaji yako then specification zitakazo suit hayo mahitaji kisha ndio unabalance na hiyo hela yako.
 
Nunua samsing ni nzur ukishindwa hp elite book ni nzur sana dell usijarib especialy dell latitude 620 na 630
 
Ooyooo mkuu ni sawa lakini hata picha nao inatakiwa kubalance na hiyo bei fanya siri kama mtungi wa maji ajui kata
 
nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?
kaka tafuta laptop amabayo ni:-----
1-i3, i5 ,or i7
2-hard disk isipungue 320Gb
3-ram isipungue 4gb
maelezo zaidi contact me..... ninazo laptop nzuri sanaaaa
 
kaka tafuta laptop amabayo ni:-----
1-i3, i5 ,or i7
2-hard disk isipungue 320Gb
3-ram isipungue 4gb
maelezo zaidi contact me..... ninazo laptop nzuri sanaaaa
una aina gan za laptop
na kutokana na maelezo hapo juu je unauza sh ngap?
 
Nina Toshiba Satelite(2GB of Ram/500HDD/Windowz 8/2.5GHZ Clock/15"/Dual Core-AMD Processor/Class-A/Shipped form Amazon Store USA. Bei 700,000/- Only.

Contacts(0715240140)
 
Nakushauri ununue samsung, yangu nilinunua mwaka jana may, mpaka sasa inapiga mzigo na chaji inatunza zaidi ya 3hrs...

dell zinazingua sana hasa betri na cd-rom

usiangalie sana brand mzee maana hata samsung wana kasoro zao nyingi tu hapa natumia dell ispiron n5110 ina mwaka na nusu na inakaa na charge 6hrs
 
I dont suggest HP they failed to find the way to cool their processor u better go for dell atleast iko poa ila Toshiba nayo batteries zake cells hua zinakwisha nguvu mapema mno

I argue with you sir !

HP full crappy over heating effects !

Toshiba Sattelite childish speaker ! They whack !
 
kaka mimi naweza sema nimekwishatumia aina nyingi za laptop na nafaham madhaifu yake japo si mengi DELL mara nyingi ikikaa kwa mda wa miaka 3/4 hua zinakufa USB port na DVDrom HP nyingi za sasahv mfumo wake wa motherbody ni rahic sana kuua crusta za HDD mimi ni mtumiaji wa Hp lakn naweza kukushauri ununue SONY maana naziona hazna mpingamiz kwa ubora
 
nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?

nunua Dell inspiron 15 3521, Core i3 ipo powa sana. Dell wapo vizuri kwenye hardware, drivers availability na support. hii inspiron 15 3521 ni nyepesi, Slim na muonekano mzuri. IMG_20140319_123832.jpg
IMG-20140406-WA0000.jpgIMG-20140406-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom