Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Tafuta LENOVO ila ingekuwa vyema ukasema mahitaji yako ili ushauliwe vyema! Maana, kila hitaji latengeme uwezo wa mashine husika na si ku under/over use
 
ymolel hii laptop nitaipata kwa bei gani mkuu

Zipo zenye specs tofauti tofauti zikiwemo celeron dual 1017U, Core i3,Core i5,Core i7, Pentium dual core.


  • kwa celeron 1017U dual core, 4Gb Ram, 500HDD ni Tshs 540,000 hadi Tsh520,000
  • kwa Pentium dual core,2GB hadi 4GB RAM , 500HDD ni Tshs 580,000 hadi 540,000
zote zina bluetooth, wifi,webcam,dvdwriter, 15.6" display intel HD 4000,USB3.0 & 2.0 Ports.

Duka: Sound and vision arusha

sijaulizia kwa hizo za core i 3, i5, na i7 ingawa pia zipo
 
Zipo zenye specs tofauti tofauti zikiwemo celeron dual 1017U, Core i3,Core i5,Core i7, Pentium dual core.


  • kwa celeron 1017U dual core, 4Gb Ram, 500HDD ni Tshs 540,000 hadi Tsh520,000
  • kwa Pentium dual core,2GB hadi 4GB RAM , 500HDD ni Tshs 580,000 hadi 540,000
zote zina bluetooth, wifi,webcam,dvdwriter, 15.6" display intel HD 4000,USB3.0 & 2.0 Ports.

Duka: Sound and vision arusha

sijaulizia kwa hizo za core i 3, i5, na i7 ingawa pia zipo

mkuu kumbe bei yake ndogo au si brand?
 
mkuu kumbe bei yake ndogo au si brand?

kaka Sound and vision wanauza Vitu Brand new peke yake.

1. kuna lenovo za celeron hadi TSHS 499,000/=
2.Toshiba C50 TSHS 515,000/=
3. pia flash disk wanazo original kwa bei nzuri,
4. HDD external transcend 1TB tshs 180,000, WD 1TB 165,000/=

Warranty 1 year, items are fully boxed
 
mkuu naona kila mtu huku ndani anakushauri kutokana na pc anayoitumia.. ushauri wangu kwanza angalia matumizi yako ni yapi.. je wewe ni gamer au ordinary user..
kama ni gamer pesa yako haitotosha kwani pc ya kawaida kwa bei hiyo haiwezi run hata games unazohitaji kama battlefield assasins creed and others kama hizo... kinachonifanya nikuulize mahitaji ni kwasababu ya point ya mtu mmoja humu ndani kuongelea overheating..
hakuna pc inayoweza kuoverheat ukiwa unabrowse na kustream unless its used au broken...
binafsi natumia HP TS15 AMD10 its a monster in all sectors sio gamin an all na ni alminium body so ts durable sana.. kwa wanaoiponda hp hebu waingia kuangalia high trending pc ( siitetei coz mimi naangalia perfomance sio brand)
kwahiyo mkuu angalia mahitaji yako ndio utakapojua pc unayoitaka ni ya aina gani..
muhimu kuzingatia
  • chagua kuanzia core i3 kwenda mbele
  • kama ni celeron basi iwe 4th generation processor
  • ram 4 gb kuendelea
  • resolution nzuri yenye uwezo wa 1080p kuendelea maana sasa ulimwengu upo kwenye 4k
huo ni ushauri wangu kama mdau
 
Nategemea kwenda dukani kununua laptop.Wanajf nisaidieni vitu vya kuzingatia ili nisiuziwe mbuzi kwenye gunia kwani hii ni mara yangu ya kwanza kutafuta laptop
 
Namimi nasubiri majibu maana nna mpango kama wako.
 
Angalia vitu unavyohitaji. Kwani hilo wazo la kununua laptop ni sisi tumekupa? Ulikotoa wazo la hitaji la laptop chukua huko unataka iweje sio uje hapa upangiwe.
 
Nataka kununua laptop nizingatie vitu gani?Msaada wadau

Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, nimeona niandike makala hii kuwasaidia wale wanunuaji wapya wapate muongozo ili angalau wanapokwenda dukani wajue wanataka nini.

10. Matumizi

Unapotaka kununua kompyuta, jambo la kwanza ni kujua unataka kwa ajili ya matumizi yapi? kuna watumiaji ambao wao ni kufungua facebook, kusoma barua pepe tu na kutype kazi zake ndogo ndogo hawa wanahitaji pc zisizo na specification kuubwa, kuna ambao wanafanya photoshoping, video editing hawa wanahitaji mashine zenye option kubwa za multimedia.
Lab_Usability_User_03.jpg



9. Bei

Hapa ndo uwa patamu maana, utakuta mtu anataka kompyuta yenye specification kuubwa mfano ram Gb 6, au processor quad core, hard disk %00 GB kuendelea halafu anakwambia ana laki sita, kama huna hela ya kutosha sio tatizo, unaeza ku upgrade kidogo kidogo baadae ukipata hela, mfano nunua ram gb1 then baadae utaongeza mpaka zifike hata 6 kama mashine inaruhusu, au hard disk kama ni ndogo unaweza nunua kisha siku za baadae ukaongeza.
tumblr_inline_mofeergLU21qz4rgp.jpg



8.Operating System

Angalia minimum requirement ya hiyo kompyuta unayonunua, mara nyingi uwa imeoneshwa kuwa hiyo pc imedesgniwa kwa ajili ya operating system gani, zipo kwa ajili ya ubuntu, zipo windows xp, 7, 8 etc


7. Ukubwa wa umbo

Baadhi ya watu kama mimi napenda skrini kubwa kama desktop haina kuanzia inch 22 au laptop ianzie inc 15 uwa sina raha maana mimi ni mpenzi wa movies na games, jambo la muhimu ni kuwa skirini kubwa ni nzuri kwa wale wenye macho yenye udhaifu. ila kuna ambao wanapenda vile vidogo vidogo labda kwa sababu ni rahisi kubeba nakadhalika.

Q464282-HP-ZR2740W-27inch-DVI-LED-Monitor-1.jpg




6. Matundu

Kutokana na mahitaji yako, angalia kompyuta ambayo itafaa ukiwa umeweka flash pia unaweza kuweka modem, printer nakadhalika, siku hizi kuna hdmi connection, kuna usb 2 na usb 3 ports, matundu ya internet connection
swsixperipherals.jpg



5. Jina

Baadhi ya watu kwa sababu moja au nyingine atakwambia amnapenda HP au Dell au Samsung au Toshiba, mfano unaponunua pc ya Hp au samsung unapewa warant ikizingia unaweza irudisha ukatengenezewa au ukapewa mpya,
best-brands-of-laptop-computers-2.jpg






4. Hard Disk

kwa watumiaji wa kawaida sio tatiuzo sana hii, ila kwa watumiaji wakubwa{wale wanopenda kudownload softwares mfano adobe suit uwa zina mpaka 5GB} wale wapenzi wa kudownload movies, gaming , na wengineo wanahitaji hard disk kubwa. Magwiji wa komyuta huulizia SATA au SCSI drives


3. RAM

Kwa watumiaji wadogo sio ishu sana hii, hata ram ya 2Gb ni kubwa kutosha matumizi ytake yoote. Ila watumiaji wakubwa hasa wale professionals wangependa kutumia kuanzia 4 - 6 GB. pia operating systems kama windows 32bit na 64bit zina minimum requirements za Ram itakayotumika kuziendesha.wataalam wa komyuta wenyewe wakati wa manunuzi huulizia DDR2 au DDR3

2. Processor

Kuna tofauti kubwa sana kati ya processor za single core kama pentium processors, duo-core, na quad core processors,
kwa mtumiaji wa kawaida pc yenye processor za intel i3 inamtosha saaana
watumiaji wa kati i5 itafaaa ila kwa wale maguru i7 ndio ya kwao
Factors-to-Consider-Before-Buying-a-Computer.jpg



1. Waranti

Kama utanunua kifaa chako kutoka katika maduka au mawakala wa icho kifaa wanaofahamika utapata waranti ambayo itasaidia wewe mtumiaji kupata msaada kifaa kitakapopata matatizo mfano battery ikizingua kamahujaiharibu mwenyewe unaweza kubadilishiwa ukapewa ingine nakadhalika
15039374-1-year-warranty-one-year-warranty.jpg


Kwa leo tuishie hapa, kama umepata chochote hapa, Gonga Like, maswali, michango mingine yoyote inakaribishwa

asante sana kwa elimu nzuri!2po wengi 2cyo jua vzr hayo mmb.
 
Back
Top Bottom