MAKAVU LAIVU
Member
- Oct 13, 2012
- 75
- 12
Dell au hp
asantenh ila ingukuwa vizur na kutaja ubora wake na mapungufu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dell au hp
nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?
asantenh ila ingukuwa vizur na kutaja ubora wake na mapungufu yake
nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?
kaka tafuta laptop amabayo ni:-----nataka kununua LAPTOP yenye thamani ya laki sita hivyo naomba msaada wenu aina gan mzuri kununua?
una aina gan za laptopkaka tafuta laptop amabayo ni:-----
1-i3, i5 ,or i7
2-hard disk isipungue 320Gb
3-ram isipungue 4gb
maelezo zaidi contact me..... ninazo laptop nzuri sanaaaa
una aina gan za laptop
na kutokana na maelezo hapo juu je unauza sh ngap?
Nakushauri ununue samsung, yangu nilinunua mwaka jana may, mpaka sasa inapiga mzigo na chaji inatunza zaidi ya 3hrs...
dell zinazingua sana hasa betri na cd-rom
I dont suggest HP they failed to find the way to cool their processor u better go for dell atleast iko poa ila Toshiba nayo batteries zake cells hua zinakwisha nguvu mapema mno