Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
House Girl ni chini ya hapo Mkuu.Hapo labda house girl
Amefanyaje?Hapo labda house girl
Tafuta kazi mkuu hiyo kutoboa labda uibetieWakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
ukipanga chumba cha elfu 15 nyuma ya ofisini unapofanyia kazi unatoboa bila wasiwasi, ukijizatiti kweli kweli huku walau ukiwa unazungusha walau karanga za kukaangaa au peremende au bigjii, humo humo ofisini zikuongezeee shilingi mbili tatu ya kula. utafanyaje sasa na walinzi wengi wanatembelea tairi hizo hizo na maisha yanasonga πWakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Kazi zingine za kitumwa sana na hapo unalipwa hivyo na bado unapelekeshwa km Pila bovuTafuta kazi mkuu hiyo kutoboa labda uibetie
Hio Pesa sio kitu kabisa haitoshi chochote wiki tu upo juu ya Mawe Gari limepaki Hoi bin taabanukipanga chumba cha elfu 15 nyuma ya ofisini unapofanyia kazi unatoboa bila wasiwasi, ukijizatiti kweli kweli huku walau ukiwa unazungusha walau karanga za kukaangaa au peremende au bigjii, humo humo ofisini zikuongezeee shilingi mbili tatu ya kula. utafanyaje sasa na walinzi wengi wanatembelea tairi hizo hizo na maisha yanasonga π
Akisema ana Masters ya Sociology utamsaidiaje na ajira hutoi wewe?Mtoa mada una elimu gani
Aendelee KUjITAFUTA mkuu laki na hamsini hafiki kokote. Dunia haiwez kumuhurumia kwa umaskin wakeukipanga chumba cha elfu 15 nyuma ya ofisini unapofanyia kazi unatoboa bila wasiwasi, ukijizatiti kweli kweli huku walau ukiwa unazungusha walau karanga za kukaangaa au peremende au bigjii, humo humo ofisini zikuongezeee shilingi mbili tatu ya kula. utafanyaje sasa na walinzi wengi wanatembelea tairi hizo hizo na maisha yanasonga π
Kama kula asubuh na mchana ni kwa boss hapo hakikisha jioni unakula sio zaid ya buku jero means kwa mwezi 45k, mavazi usiyawaze kabisa tumia ulizonazi mpka ziishie mwilini, usinunue bando la internet, unga sms za mwez na dakika kwa emergency.Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Ningempa idea ya kufanya Zanzibar anawez kutoboa mana mshahara wanalipaga laki tatu na wanakupa chakula na malaziAkisema ana Masters ya Sociology utamsaidiaje na ajira hutoi wewe?
Lakini wale wa kazi ngumu, muhimu na za maana sana mathalani walinzi wa makampuni na wafagizi wa maofisi, wanapiga kazi vizuri tu na maisha yanasonga πHio Pesa sio kitu kabisa haitoshi chochote wiki tu upo juu ya Mawe Gari limepaki Hoi bin taaban
wazo zuriukipanga chumba cha elfu 15 nyuma ya ofisini unapofanyia kazi unatoboa bila wasiwasi, ukijizatiti kweli kweli huku walau ukiwa unazungusha walau karanga za kukaangaa au peremende au bigjii, humo humo ofisini zikuongezeee shilingi mbili tatu ya kula. utafanyaje sasa na walinzi wengi wanatembelea tairi hizo hizo na maisha yanasonga π
ndio kazi zilizopo,Aendelee KUjITAFUTA mkuu laki na hamsini hafiki kokote. Dunia haiwez kumuhurumia kwa umaskin wake
Certificate ya clearing &forwardingMtoa mada una elimu gani
ipo logic ya hili swali ngoja ajibu tumsaidie mawazo kwa kadri pia ya elimu yakeAkisema ana Masters ya Sociology utamsaidiaje na ajira hutoi wewe?
Kabsa, hilo liko wazi chiefKazi zingine za kitumwa sana na hapo unalipwa hivyo na bado unapelekeshwa km Pila bovu