Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Zanzibar IPI unaizungumzia?Ningempa idea ya kufanya Zanzibar anawez kutoboa mana mshahara wanalipaga laki tatu na wanakupa chakula na malazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar IPI unaizungumzia?Ningempa idea ya kufanya Zanzibar anawez kutoboa mana mshahara wanalipaga laki tatu na wanakupa chakula na malazi
Msaada pekee SIO mawazo msaada pekee ni kumpa MWONGOZO wapi atapata kazi inayolipa at least kuanzia 250,000 kuendeleaipo logic ya hili swali ngoja ajibu tumsaidie mawazo kwa kadri pia ya elimu yake
Nyuzi zangu ziko wazi humuipo logic ya hili swali ngoja ajibu tumsaidie mawazo kwa kadri pia ya elimu yake
Asante ASANTE ASANTE 💪💪💪Kama kula asubuh na mchana ni kwa boss hapo hakikisha jioni unakula sio zaid ya buku jero means kwa mwezi 45k, mavazi usiyawaze kabisa tumia ulizonazi mpka ziishie mwilini, usinunue bando la internet, unga sms za mwez na dakika kwa emergency.
Hakikisha matumiz mengine hayazidi 35k ili kwa mwez uwe umetumia 80k na wewe usev 70k per month kwa mwaka 840k hamna hamna 800k hapo utakuwa umepata mtaji
ok je unafanya kazi hizohizo?Certificate ya clearing &forwarding
Hapana, ulinzi kwa sasaok je unafanya kazi hizohizo?
binafsi kwa sasa siamini tena katika makaratasi lakini wakati mwingine tunauliza ili huyu mtu tuweze kumshauri vizuri japo kiukweli hapo hakuna kazi wala kibarua afikirie tu kuacha hiyo kazi.Msaada pekee SIO mawazo msaada pekee ni kumpa MWONGOZO wapi atapata kazi inayolipa at least kuanzia 250,000 kuendelea
Kama una sehemu unaijua inalipa hivyo mpe MWONGOZO afike apige kazi makaratasi tupa kule kuna sehemu wala hawataki makaratasi wanataki Akili na nguvu yako tu basi
Namna ya watu wote ndo haipo. Namna ya mtu mmoja mmoja ipo mkuu mbona kujiongeza kunawezekana. Ni kubeba risk ya kuanza harakati nyingine. Leo hii uko peke yako hiyo hela inatosha lakin ukiongeza mke na mtoto mmoja tu kichwa kinapata moto twenti foo sevenindio kazi zilizopo,
walinzi wa makampuni mbalimbali, Lakini wafanya usafi wa makampuni mbalimbali maofisi wanachezea mkwanja huo huo na maisha yanasonga, maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
kama unafanya ulinzi achana nayo jipe muda wa miezi mitatu ya kjitayarisha kisha anza mdogomdogo kujifunza kilimo cha bustani tena lima nyanya chungu na bamia hata kwa kilimo cha kuweka kwenye mifuko.Hapana, ulinzi kwa sasa
Yes 🤣🐒Namna ya watu wote ndo haipo. Namna ya mtu mmoja mmoja ipo mkuu mbona kujiongeza kunawezekana. Ni kubeba risk ya kuanza harakati nyingine. Leo hii uko peke Tako hiyo hela inatosha lakin ukiongeza mke na mtoto mmoja tu kichwa kinapata moto twenti foo seveni
Unguja hii. Watu wengi nawafaham ni wapishi, mahaus kipa na barman/lady wanalipwa laki 3 wengine mpaka 4.5 Wana elimu ya kidato Cha nne tu. Kwa kupew makazi wengine washawekeza huko bara vimiradi vya milioni mbili.Zanzibar IPI unaizungumzia?
Asante chief +255 756 061 623kama unafanya ulinzi achana nayo jipe muda wa miezi mitatu ya kjitayarisha kisha anza mdogomdogo kujifunza kilimo cha bustani tena lima nyanya chungu na bamia hata kwa kilimo cha kuweka kwenye mifuko.
nauhakika unaweza kutoboa kuliko hii.
lakini hata hivyo nafikiri nitaku pm ili nikupe namba ya simu nikushauri kwa karibu tusije tukakupoteza.
Ulinzi Zanzibar wanalipa 180 wanakupa chakula na malazi na tip kibao kwa wazungu. Kunamakampuni yanalpa Hadi 250Hapana, ulinzi kwa sasa
Nicheck kawaida mkuu, pm inagoma +255 756 061 623kama unafanya ulinzi achana nayo jipe muda wa miezi mitatu ya kjitayarisha kisha anza mdogomdogo kujifunza kilimo cha bustani tena lima nyanya chungu na bamia hata kwa kilimo cha kuweka kwenye mifuko.
nauhakika unaweza kutoboa kuliko hii.
lakini hata hivyo nafikiri nitaku pm ili nikupe namba ya simu nikushauri kwa karibu tusije tukakupoteza.
ok asante tabu utakayopata ni lazima nikufuatilie kwa kadri tutakavyoongea na kuelekezana na mwisho wa siku lazima nikuone kwa hiyo jipange kwa hiyo changamoto.Nicheck kawaida mkuu, pm inagoma +255 756 061 623
Laki na 50 kwa mwezi hiyo ni sawa na elfu 5 kwa siku.Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Ila wanakula bure, wanalala bure,matibabu ya kawaida bure wakiumwa,nkHouse Girl ni chini ya hapo Mkuu.