Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
ππππππππAendelee KUjITAFUTA mkuu laki na hamsini hafiki kokote. Dunia haiwez kumuhurumia kwa umaskin wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππAendelee KUjITAFUTA mkuu laki na hamsini hafiki kokote. Dunia haiwez kumuhurumia kwa umaskin wake
Yani hapo mkuu hata soda hanywi na Hilo dagaa hajanunua tungule hapo Wala nyanya ntole.Ni ngumu ila ngoja tuone
Kodi @ mwezi ......... 35,000
Unga wa ugali kg 10 ... 18,000
Mchele kg 5 ..................... 15,000
Dagaa ................................. 15,000
Bill umeme/maji .......... 10,000
Sabuni/dawa ya meno... 5,000
Vocha ..................................... 12,000
Maji ya kunywa ................ 15,000
Dharura ................................. 20,000
Akiba ....................................... 15,000
JUMLA 150,000
Hiyo dharura na akiba usizitumie kama haujaumwa wala haujapata biashara yakufanyia. Usoje ukashikwa genye ukavunja kibubu Mkuu.
Ila hilo life ni gumu kinoma na bado field hiyo bajeti inaweza isitoboe wiki mbili.
hahah, ataamua aweke vocha au anunue mazaga ya mboga.Yani hapo mkuu hata soda hanywi na Hilo dagaa hajanunua tungule hapo Wala nyanya ntole.
Nicheki PM siku ukipata mshahara twende Pale Kitambaa Cheupe Tukayaongelee haya kiundani zaidi..Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Ungekuwa mikoani huko ndani ndani inatosha sana, ila kwa jiji la DSM, rudi tu nyumbani kwa kweli.Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Mmmmmmhmn hapa maisha hamna bora atafute kitu cha kufanya aiseee. Maisha sio magumu kiasi hicho hadi mtu ajiweke rumande kiuchumi. Bora akauze hata simu au awe fundi simu kariakoo atapata uhakika hata wa elfu 10 au 20 kwa siku na atafanya maisha vema tu.Ni ngumu ila ngoja tuone
Kodi @ mwezi ......... 35,000
Unga wa ugali kg 10 ... 18,000
Mchele kg 5 ..................... 15,000
Dagaa ................................. 15,000
Bill umeme/maji .......... 10,000
Sabuni/dawa ya meno... 5,000
Vocha ..................................... 12,000
Maji ya kunywa ................ 15,000
Dharura ................................. 20,000
Akiba ....................................... 15,000
JUMLA 150,000
Hiyo dharura na akiba usizitumie kama haujaumwa wala haujapata biashara yakufanyia. Usoje ukashikwa genye ukavunja kibubu Mkuu.
Ila hilo life ni gumu kinoma na bado field hiyo bajeti inaweza isitoboe wiki mbili.
Nouma sana MkuuMmmmmmhmn hapa maisha hamna bora atafute kitu cha kufanya aiseee. Maisha sio magumu kiasi hicho hadi mtu ajiweke rumande kiuchumi. Bora akauze hata simu au awe fundi simu kariakoo atapata uhakika hata wa elfu 10 au 20 kwa siku na atafanya maisha vema tu.
Kwny budget ya chakula hapo n bora ale mgahawan kwa sabab hawez kuwa anarudi home kupika wakat yupo kazn.Ni ngumu ila ngoja tuone
Kodi @ mwezi ......... 35,000
Unga wa ugali kg 10 ... 18,000
Mchele kg 5 ..................... 15,000
Dagaa ................................. 15,000
Bill umeme/maji .......... 10,000
Sabuni/dawa ya meno... 5,000
Vocha ..................................... 12,000
Maji ya kunywa ................ 15,000
Dharura ................................. 20,000
Akiba ....................................... 15,000
JUMLA 150,000
Hiyo dharura na akiba usizitumie kama haujaumwa wala haujapata biashara yakufanyia. Usoje ukashikwa genye ukavunja kibubu Mkuu.
Ila hilo life ni gumu kinoma na bado field hiyo bajeti inaweza isitoboe wiki mbili.
Tajiri hatambui neno "UBINADAMU" kwny kaz yake, na kama huamini we nenda kwny kile kiwanda cha...... kilichopo bugurun kaombe kibarua uone kama hujazikimbia nguo zako!!Hizi kazi zingine ni kunyanyasa na kutesa watu plus kukosa ubinadamu. Unamshika mtu masaa yote hayo halafu unamlipa laki na nusu kweli, yeye anakutengenezea kiasi gani hadi umlipe kidunchu hivyo? [emoji848]
Ni kweli ajira ni ngumu kupatikana ila hebu tusitese watu kwa kisingizio cha kukosekana kwa ajira. Ubinadamu utangulie kwanza.
kama ataweza kuepuka vishawishi lkn kama hawezi hiyo laki 3 wiki Tu ishatumbukia mifukoni mwa wenye bar,wadada, ndugu,chakula na mahitaji mengine...πNingempa idea ya kufanya Zanzibar anawez kutoboa mana mshahara wanalipaga laki tatu na wanakupa chakula na malazi
ππππππ Bro, kwa hyo mtu kuuza/kutengeneza cmu anaanza tu from nowhere, hana mtaji, ujuz wa kutengeneza, vifaa, office etc, yaan anapanda tu Mwendokas then anatua k.koo then anaanza ku repair cmu?Bora akauze hata simu au awe fundi simu kariakoo atapata uhakika hata wa elfu 10 au 20 kwa siku na atafanya maisha vema tu.
Kijana anayejitafuta hawezi kuwa na akili kama hizo mkuu. Maisha ya kujitafuta hayataki hanasa. Lakini to be honest, hakuna kazi ya mshahara wa laki na nusu mtu akatoboa unless kwenye ulinzi kuwe na wiziwizi. Walinzi wengi wanatoboa kwa ishu za unyakunyaku tukama ataweza kuepuka vishawishi lkn kama hawezi hiyo laki 3 wiki Tu ishatumbukia mifukoni mwa wenye bar,wadada, ndugu,chakula na mahitaji mengine...π
sawa halafu sio hanasa ni anasa inaonekana wewe bado sana kwenye utendaji wa anasa ndio maana hujui hata kuziandika!Kijana anayejitafuta hawezi kuwa na akili kama hizo mkuu. Maisha ya kujitafuta hayataki hanasa. Lakini to be honest, hakuna kazi ya mshahara wa laki na nusu mtu akatoboa unless kwenye ulinzi kuwe na wiziwizi. Walinzi wengi wanatoboa kwa ishu za unyakunyaku tu
hahah, ataamua aweke vocha au anunue mazaga ya mbo
Yeah mbona watu wanapeana shavu sana pale kwa kuanzia baadae atakapopata ujuzi ataweza kusimama mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro, kwa hyo mtu kuuza/kutengeneza cmu anaanza tu from nowhere, hana mtaji, ujuz wa kutengeneza, vifaa, office etc, yaan anapanda tu Mwendokas then anatua k.koo then anaanza ku repair cmu?