Muongozo wa bajeti kwa mtu anelipwa 150k kwa mwezi

ipo logic ya hili swali ngoja ajibu tumsaidie mawazo kwa kadri pia ya elimu yake
Msaada pekee SIO mawazo msaada pekee ni kumpa MWONGOZO wapi atapata kazi inayolipa at least kuanzia 250,000 kuendelea

Kama una sehemu unaijua inalipa hivyo mpe MWONGOZO afike apige kazi makaratasi tupa kule kuna sehemu wala hawataki makaratasi wanataki Akili na nguvu yako tu basi
 
Asante ASANTE ASANTE 💪💪💪
 
binafsi kwa sasa siamini tena katika makaratasi lakini wakati mwingine tunauliza ili huyu mtu tuweze kumshauri vizuri japo kiukweli hapo hakuna kazi wala kibarua afikirie tu kuacha hiyo kazi.
 
ndio kazi zilizopo,
walinzi wa makampuni mbalimbali, Lakini wafanya usafi wa makampuni mbalimbali maofisi wanachezea mkwanja huo huo na maisha yanasonga, maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
Namna ya watu wote ndo haipo. Namna ya mtu mmoja mmoja ipo mkuu mbona kujiongeza kunawezekana. Ni kubeba risk ya kuanza harakati nyingine. Leo hii uko peke yako hiyo hela inatosha lakin ukiongeza mke na mtoto mmoja tu kichwa kinapata moto twenti foo seveni
 
Hapana, ulinzi kwa sasa
kama unafanya ulinzi achana nayo jipe muda wa miezi mitatu ya kjitayarisha kisha anza mdogomdogo kujifunza kilimo cha bustani tena lima nyanya chungu na bamia hata kwa kilimo cha kuweka kwenye mifuko.
nauhakika unaweza kutoboa kuliko hii.
lakini hata hivyo nafikiri nitaku pm ili nikupe namba ya simu nikushauri kwa karibu tusije tukakupoteza.
 
Asante chief +255 756 061 623
 
Nicheck kawaida mkuu, pm inagoma +255 756 061 623
 
Nicheck kawaida mkuu, pm inagoma +255 756 061 623
ok asante tabu utakayopata ni lazima nikufuatilie kwa kadri tutakavyoongea na kuelekezana na mwisho wa siku lazima nikuone kwa hiyo jipange kwa hiyo changamoto.
binafsi nachukia mbegu zinazopandwa kisha hazioti hivyo ili uweze kupata haki lazima utimize wajibu tutakaopeana.
 
House girl ni poa, kila kitu anapata. Hebu wewe unaepata mshahara tumia matumizi yako yote ta kawaida uangalie mwisho wa mwezi una ngapi mfukoni. House girl ni za kwake za mfukoni.
 
Piga total cost ni ngap unabaki na profit ngap.. haf tukupe mbinu..
 
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .

Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!

Njooni, wataalamu wa bajeti
Laki na 50 kwa mwezi hiyo ni sawa na elfu 5 kwa siku.

Elfu 5 kwa siku utaibana vipi kuanzia usafiri ,kula ,kodi ya nyumba ,umeme ,vocha ,kunyoa ,mavazi nk?

Hapo angalia ustaarabu mwingine la sivyo hutoboi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…