Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nina desktop Intel(R) core (TM) i5-2500 CPU @3.30Ghz (4CPUs), ~3.3Ghz
Na graphic card Invidia Geforce Gtx 710
Nieleweshe niongeze nini au niachanenayo?
 
Nina desktop Intel(R) core (TM) i5-2500 CPU @3.30Ghz (4CPUs), ~3.3Ghz
Na graphic card Invidia Geforce Gtx 710
Nieleweshe niongeze nini au niachanenayo?
Ongeza Gpu mkuu, kama utapata deal zuri. Pia unaweza upgrade kwenda i7 2700 ila sio lazima sana.
 
Nimekuelewa inamaana hii nizile ambazo hazina elufi inasimama kama 2500k?
Yenye K mwisho ina maana unaweza kui unlock na kuongeza frequency. Sema mpaka uwe na desktop na Motherboard inayokubali. Hizi desktop zetu za Kina HP na Dell ngumu ku overclock cpu.
 
Nina hp notebook yenye core i5 11th gen. 4GB ram. 256GB SSD. nataka 900k Mwenye pesa aje inbox tumalize biashara
 
Nimemaliza huu uzi page zoote 100...

Nimejifunza mengi, Nimekua inspired sana kua na Desktop kali for gaming na kwa bajeti kiasi.

Shukrani Cheif Mkwawa, kweli wewe ni alien
 
Chief-Mkwawa
Kuna jambo bado sijawa well cleared.
Ni heri nitafute Monitor au ninunue Tv niifanye monitor kwa ajili ya kuchezea games?
 
Chief-Mkwawa
Kuna jambo bado sijawa well cleared.
Ni heri nitafute Monitor au ninunue Tv niifanye monitor kwa ajili ya kuchezea games?
Kama unacheza casual, mpira hapa na pale si mbaya TV,

Ila kama unacheza online ama upo serious na game, mfano Fisrt person Shooters games, monitor muhimu, TV zina lag sana.
 
Sasa hivi ana core 4 tayari,mimi nilitaka kujua kama ukiupgrade core zitaongezeka kutoka core 4 za sasa hivi.
Core 4 sawa ila thread ni 8, i5 ina core 4 na thread 4.

Ps4 na Xbox one zina Core 8 thread 8, majority ya games kizazi chetu zimekuwa optimized kufanya kazi kwenye thread 8, hivyo ukiwa na i7 kuna advantage fulani hivi Unapata Over i5.
 
Kama unacheza casual, mpira hapa na pale si mbaya TV,

Ila kama unacheza online ama upo serious na game, mfano Fisrt person Shooters games, monitor muhimu, TV zina lag sana.
Chief-Mkwawa shukrani
Mimi huwa nacheza mara nyingi games za offline ingawa napenda picha iwe nzuri, kwa upande wa rangi iwe kama ni kijani, kijani kweli yan iwe HD sijajua kama nitafanikisha hili kwa kutumia Tv brand kama samsung.
 
Zipo LG TV ambazo watu wanatumia replacement ya monitor Sema bei zake ndefu sana kwa mtanzania wa Kawaida ku Afford, zinakuwa ni CX series.

Kwa TV za kawaida angalau iwe full HD ku enjoy ile clarity ya monitor. Hivyo Hakikisha hata kama ni Inch 32 hio TV iwe ni Full HD.

Kuhusu rangi hio ni part ya Color profile, wa naandika kwenye specs na pia unaweza uka calibrate mwenyewe baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…