Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,061
Hio ni gen ya 7, Y version.mkuu msaada kidogo , nitoe tongotongo kwenye hii i5-7Y57 CPU @ 1.20GHz 1.61 GHz
Nashukuru sana mkuuHio ni gen ya 7, Y version.
Hizi Y version zinawekwa kwenye laptop nyembamba sana na sifa yake kubwa ni kula umeme mdogo, inatumia watts 4.5 tu kwa saa.
Perfomance pia si haba sema haiwezi kusustain hio perfomance kwa muda mrefu.
mkuu ukicompare na hii i5-7300u cpu 2.60ghz 2.71ghz? ipi nzuri zaidiHio ni gen ya 7, Y version.
Hizi Y version zinawekwa kwenye laptop nyembamba sana na sifa yake kubwa ni kula umeme mdogo, inatumia watts 4.5 tu kwa saa.
Perfomance pia si haba sema haiwezi kusustain hio perfomance kwa muda mrefu.
I5 7300u ni nzuri, ila kwa matumizi ya kawaida pengine usione tofauti. Mpaka kuwe na kazi inayotumia cpu mpaka mwisho kwa muda mrefu, mfano kucheza games ndio utaona i5 7300u inaperform vizuri zaidi.mkuu ukicompare na hii i5-7300u cpu 2.60ghz 2.71ghz? ipi nzuri zaidi
kwa hiyo mkuu kama ni kunishauri japo matumizi yangu sio ya games ni kidogo tu graphics design na internet kwa wingi nichukue ipi ? japo nilikuwa na i3-1005G1I5 7300u ni nzuri, ila kwa matumizi ya kawaida pengine usione tofauti. Mpaka kuwe na kazi inayotumia cpu mpaka mwisho kwa muda mrefu, mfano kucheza games ndio utaona i5 7300u inaperform vizuri zaidi.
Hvi mkuu monitor ikiwa na usb port unaweza tumia flash na external disk direct?I5 7300u ni nzuri, ila kwa matumizi ya kawaida pengine usione tofauti. Mpaka kuwe na kazi inayotumia cpu mpaka mwisho kwa muda mrefu, mfano kucheza games ndio utaona i5 7300u inaperform vizuri zaidi.
Hii i3 1005G1 ni much better. Kwa designs hizi mkuu jipinde angalau gen ya 8, gen ya 7 achana nazo.kwa hiyo mkuu kama ni kunishauri japo matumizi yangu sio ya games ni kidogo tu graphics design na internet kwa wingi nichukue ipi ? japo nilikuwa na i3-1005G1
Most of time zinachaji simu tu hizo usb ila inawezekana monitor kupitisha hizo data.Hvi mkuu monitor ikiwa na usb port unaweza tumia flash na external disk direct?
Kwa around 150000 hadi 200000 naweza pata monitor nzuri led 22" hadi 24"?
Asantee sana mkuu ...shukrani sanaHii i3 1005G1 ni much better. Kwa designs hizi mkuu jipinde angalau gen ya 8, gen ya 7 achana nazo.
Quality mbovu mkuu ina tatizo tu au ndivyo imetengenezwa.Mimi nina Aoc hapa 24' nilinunua hio laki 2, gaming monitor ya 144hz. Sema ina quality
Gaming monitor zinatumia panel kama VA ama TN hazina rangi nzuri by nature. Una sacrifice uzuri wa kioo kwa input lag ndogo na refresh rate kubwa.Quality mbovu mkuu ina tatizo tu au ndivyo imetengenezwa.
So unanishaurije niachane na monitor nibaki kwenye TV? Maana nataka ya budget ndogo. Sasa kama na ww unalalama kuhusu quality ya gaming. Wakati me nataka ikimbia tv ili nipate quality nzr kwenye gaming.Gaming monitor zinatumia panel kama VA ama TN hazina rangi nzuri by nature. Una sacrifice uzuri wa kioo kwa input lag ndogo na refresh rate kubwa.
Monitor za kawaida ni nzuri kuliko TV kwa gaming. Hivyo kama uzuri wa picha ni priority tafuta monitor za kawaida.So unanishaurije niachane na monitor nibaki kwenye TV? Maana nataka ya budget ndogo. Sasa kama na ww unalalama kuhusu quality ya gaming. Wakati me nataka ikimbia tv ili nipate quality nzr kwenye gaming.
Most of time zinachaji simu tu hizo usb ila inawezekana monitor kupitisha hizo data.
Kama zina port nyingi connect USB toka monitor hadi desktop then USB zilizobakia zitafanya kazi ya kuweka flash ama external
Nyengine hutumia cable kama za printer ku activate.
Cha muhimu ni kusoma model na namna ya kutumia kabla hujanunua.
Mimi nina Aoc hapa 24' nilinunua hio laki 2, gaming monitor ya 144hz. Sema ina quality mbovu kweli.
Kwa monitor za kawaida za maofisini unapata hizi za kina Dell na HP za inch 24, full HD ambazo zina quality nzuri na bezell nyembamba cheki machinga kule,
Juzi mkuu kama mwezi nilikuwa machinga unapata kwa laki 2 pia, nilikuwa na option ya Aoc na dell fulani.Za hp na dell mpe budget pia. Maana ni kuanzia 350k kwenda juu
Ndio unaweza mkuu. Laptop ikiwa na hdd unaweza weka ssd, na zinauzwa kama hdd, muonekano pia ni sawa sema tu ssd zinakuwa nyepesi.habari kiongozi nina hp probook G5 ina hdd 500gb nilikuwa nauliza naweza kuweka ssd na pia sina uelewa na ssd huwa zinaweza kuwekwa kwenye laptop yoyote na huwa zinauzwa kama zilivyo hard disk
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app