Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,101
Hii ni gen ya kwanza, sababu ina no tatu tu, yaani 520, gen ya 2 mpaka ya 9 ina namba 4 mfano i5 gen ya 5 inakuwa 5200 badala ya 520.Oya wadau tazama hizi specs i5 cpu M520,ram 4gb ,hdd 250 gb
Lakini sio mbaya kwa matumizi ya kawaida mkuuHii ni gen ya kwanza, sababu ina no tatu tu, yaani 520, gen ya 2 mpaka ya 9 ina namba 4 mfano i5 gen ya 5 inakuwa 5200 badala ya 520.
Kwa. Matumizi ya kawaida si mbaya, ila kazi nzito haiwezi fanya.Lakini sio mbaya kwa matumizi ya kawaida mkuu
Poa mkuu,alafu hivi ni website gani nzuri kwa ajili ya kudownload movies and seriesKwa. Matumizi ya kawaida si mbaya, ila kazi nzito haiwezi fanya.
Tumia torrent ndio njia ya uhakika kama huna uzoefu sana.Poa mkuu,alafu hivi ni website gani nzuri kwa ajili ya kudownload movies and series
Hii vipi bosi?Tumia torrent ndio njia ya uhakika kama huna uzoefu sana.
Nzuri mkuu ila muulize kwanza ni i3 ipi kabla huja nunua, i3 nzuri ni ile inayoishiwa na G1 ama G4, inayoishiwa na U gpu yake si nzuri sana.Hii vipi bosi?View attachment 1998465
Kaisha iuza et yaani napata tabu mkuu ingia pm kuleNzuri mkuu ila muulize kwanza ni i3 ipi kabla huja nunua, i3 nzuri ni ile inayoishiwa na G1 ama G4, inayoishiwa na U gpu yake si nzuri sana.
Habari chief, nataka kuchukua laptop itakayoniwezesha kucheza GTA 5. Je iwe na sifa zipi? Na niandae bugdet ya kias gan (minimum)?Nzuri mkuu ila muulize kwanza ni i3 ipi kabla huja nunua, i3 nzuri ni ile inayoishiwa na G1 ama G4, inayoishiwa na U gpu yake si nzuri sana.
Gta V kwa minimum hata laptop ya laki 4 inacheza, ila kama unataka uwe comfortable na ucheze kwa quality kubwa tafuta laptop yenye Nvidia Gtx ama mx series.Habari chief, nataka kuchukua laptop itakayoniwezesha kucheza GTA 5. Je iwe na sifa zipi? Na niandae bugdet ya kias gan (minimum)?
Hivi nikichukua hata core i5 8gen Ram 4gb ssd 128/ 500hdd siinanitosha na baadhi ya games nitacheza mkuu?Gta V kwa minimum hata laptop ya laki 4 inacheza, ila kama unataka uwe comfortable na ucheze kwa quality kubwa tafuta laptop yenye Nvidia Gtx ama mx series.
Nyingi utacheza ndio, sema ikiwa i5 gen ya 8 na gpu ya nvidia hata lowend tu itakusaidia sana.Hivi nikichukua hata core i5 8gen Ram 4gb ssd 128/ 500hdd siinanitosha na baadhi ya games nitacheza mkuu?
Lowend ndio ipoje hiyo? Na nitaipata kwa shiling ngapi brand new?Nyingi utacheza ndio, sema ikiwa i5 gen ya 8 na gpu ya nvidia hata lowend tu itakusaidia sana.
Nvidia zozote zenye neno Mx kwenye jina lakeLowend ndio ipoje hiyo?
Hii vip mkuu?Nvidia zozote zenye neno Mx kwenye jina lake
Hii na ile i5 haina utofauti mkubwa sanaHii vip mkuu?View attachment 1999258
hiii kari
gpu yake ya kawaida ila angalau itasaidia