Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Tumia torrent ndio njia ya uhakika kama huna uzoefu sana.
Hii vipi bosi?
Screenshot_20211104-164606.jpg
 
Nzuri mkuu ila muulize kwanza ni i3 ipi kabla huja nunua, i3 nzuri ni ile inayoishiwa na G1 ama G4, inayoishiwa na U gpu yake si nzuri sana.
Habari chief, nataka kuchukua laptop itakayoniwezesha kucheza GTA 5. Je iwe na sifa zipi? Na niandae bugdet ya kias gan (minimum)?
 
Gta V kwa minimum hata laptop ya laki 4 inacheza, ila kama unataka uwe comfortable na ucheze kwa quality kubwa tafuta laptop yenye Nvidia Gtx ama mx series.
 
Hivi nikichukua hata core i5 8gen Ram 4gb ssd 128/ 500hdd siinanitosha na baadhi ya games nitacheza mkuu?
 
Nyingi utacheza ndio, sema ikiwa i5 gen ya 8 na gpu ya nvidia hata lowend tu itakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom