Hii ni mpya?
Jaribu kumcheki huyu ukaikague kama ipo maana ipo vizur alaf bei yake ni sawa na bure labda kama unaitaji mpya tu.
Nisaidie baadhi ya games ninazo weza kucheza humo.gpu yake ya kawaida ila angalau itasaidia
Nahitaji mpya mkuu
Jaribu kumcheki huyu ukaikague kama ipo maana ipo vizur alaf bei yake ni sawa na bure labda kama unaitaji mpya tu.
Pitia hapaNisaidie baadhi ya games ninazo weza kucheza humo.
Hapana hii itakuwa used uwezi pata pc yenye processor ya HQ kwa hio beiHii ni mpya?
Mpya au used.?Minimum kama budget inabana tafuta i5 gen ya 4 hizi unazipata laki 3 mpaka laki 5 hivi. Matumizi ya kawaida itafanya.
Used, laptop decent mpya tunaongelea range ya laki 9 hivi.Mpya au used.?
Ndio mkuu kwa 600k unapata gen ya 6 used.Chief-Mkwawa, Habari yako Mkuu. Budget yangu ni 600k, nahitaji pc yenye core i5 6th Gen, 4 gb ram, 500gb or more. brand HP.
Budget hio itafaa au?
Matumizi yangu ni Movies, Internet (Mda mwingi niko online), kusoma. Any advice mkuu
Mm nna Thinkpad T450 ya 5th gen hapa nauza.Chief-Mkwawa, Habari yako Mkuu. Budget yangu ni 600k, nahitaji pc yenye core i5 6th Gen, 4 gb ram, 500gb or more. brand HP.
Budget hio itafaa au?
Matumizi yangu ni Movies, Internet (Mda mwingi niko online), kusoma. Any advice mkuu
Nenda dukani ukahakikishe ndio ulipieEti naambiwa hii laptop ni Brand new na bei ni 850000 ni kweli? Au ndio nataka kuingizwa mjini [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2005553
Sawa mkuuNenda dukani ukahakikishe ndio ulipie
Ni tahadhari tu ukitaka kununua kitu toka online asa insta
Ameandika fresh like new. Inamaana ni used ila ina muonekano kama mpyaEti naambiwa hii laptop ni Brand new na bei ni 850000 ni kweli? Au ndio nataka kuingizwa mjini [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2005553
Mashine kali✅ mchawi pesaMm nna Thinkpad T450 ya 5th gen hapa nauza.
Lenovo Thinkpad T450
8GB RAM
240GB Fast SSD
1920x1080 Full HD Display
Intel 5th Gen i5-5300u
2.30ghz to 2.90ghz boost.
[emoji367] 3hrs Battery
Price: 390,000/=
Contact: 0738463902 / 0743527350View attachment 2004301View attachment 2004303View attachment 2004302
Mkuu kesho naenda karia koo nipo Dar saivi kwahiyo nimepata hiyo laptop yenye i3 1005g1 sasa naambiwa ni brand new na mimi sijui kama nikitaka kuingizwa cha kike ni dakika tu, sasa nitatambuaje kama laptop ni Used au Refurbished wakati wa kuikagua?Ameandika fresh like new. Inamaana ni used ila ina muonekano kama mpya
download ki exe ki1 kinaitwa kmspico extract then install open it and enjoywakuu anaejua kuactivate window 10 for free anielekeze wakuu
Kaisha iuza et yaani napata tabu mkuu ingia pm kule