Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief-Mkwawa, Habari yako Mkuu. Budget yangu ni 600k, nahitaji pc yenye core i5 6th Gen, 4 gb ram, 500gb or more. brand HP.
Budget hio itafaa au?
Matumizi yangu ni Movies, Internet (Mda mwingi niko online), kusoma. Any advice mkuu
 
Ndio mkuu kwa 600k unapata gen ya 6 used.
 
Chief-Mkwawa, Habari yako Mkuu. Budget yangu ni 600k, nahitaji pc yenye core i5 6th Gen, 4 gb ram, 500gb or more. brand HP.
Budget hio itafaa au?
Matumizi yangu ni Movies, Internet (Mda mwingi niko online), kusoma. Any advice mkuu
Mm nna Thinkpad T450 ya 5th gen hapa nauza.

Lenovo Thinkpad T450

8GB RAM
240GB Fast SSD
1920x1080 Full HD Display
Intel 5th Gen i5-5300u
2.30ghz to 2.90ghz boost.
[emoji367] 3hrs Battery

Price: 390,000/=
Contact: 0738463902 / 0743527350View attachment 2004301
PXL_20211009_030238434.jpg
View attachment 2004302
 
Eti naambiwa hii laptop ni Brand new na bei ni 850000 ni kweli? Au ndio nataka kuingizwa mjini [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20211110-134433.jpg
 
Ameandika fresh like new. Inamaana ni used ila ina muonekano kama mpya
Mkuu kesho naenda karia koo nipo Dar saivi kwahiyo nimepata hiyo laptop yenye i3 1005g1 sasa naambiwa ni brand new na mimi sijui kama nikitaka kuingizwa cha kike ni dakika tu, sasa nitatambuaje kama laptop ni Used au Refurbished wakati wa kuikagua?
IMG-20211116-WA0000.jpg
 
wakuu anaejua kuactivate window 10 for free anielekeze wakuu
 
Back
Top Bottom