Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,341
i7 3770 kibishi bishi unacheza mkuu.Mkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1]
I7 3770
PSU 750W
Au ndo nianze kutafuta MOBO za gen ya 8 na kuendelea?View attachment 2396704
Hio GPU itanifanya ninunue computer mpya Tu Hii yangu ntaiweka Tu kama nikinunua hio GPU kwa laki mbili alafu laki tatu nikanunua new mashine hio si itakua imekaa poa sanai7 3770 kibishi bishi unacheza mkuu.
Ps4 na Xbox one bado zinatumia 8 thread processor, hivyo kwako pia hamna tabu cpu itapiga kazi vizuri, as long as developers wanatarget hizo device itacheza.
Ila ukiona tu developer wanaanza ku focus kwenye ps5 na Xbox series S (hizi zina core 8 na thread 16) ujue machine yako nayo itapitwa na wakati na haitarun games mpya.
Unaweza uktafuta gpu kama ya jamaa hapo juu rx 580 kwa chini ya laki 2 ni bonge la gpu.
issue mkuu desktop za bei rahisi hazikubali hizi psu zinazokubali gpu, sema sio impossible unaweza zurura kkoo na machinga waweza bahatisha server ama workstation fulani yenye full psu.Hio GPU itanifanya ninunue computer mpya Tu Hii yangu ntaiweka Tu kama nikinunua hio GPU kwa laki mbili alafu laki tatu nikanunua new mashine hio si itakua imekaa poa sana
Ni ssd mkuu kama Hard disk inahifadhi data sema ina speed sana kuliko Hard disk.Hiki kifaa kina kazi gani?View attachment 2397213
[mention]Chief-Mkwawa [/mention]
Ni ssd mkuu kama Hard disk inahifadhi data sema ina speed sana kuliko Hard disk.
Ila ni ndogo ina GB 24 tu.
Yap iwe tu mfumo huo huo wa m sata.Naweza kuachana na hdd nikatumia hiyo kama m'badala wake endapo nitapata kubwa zaidi??
boss kati hzo 2 ipi ni bora zaidi overall??Yap iwe tu mfumo huo huo wa m sata.
Zote monitor nzuri sana mkuu hasa kwa hio dell, uki pick yoyote inafaa.boss kati hzo 2 ipi ni bora zaidi overall?? View attachment 2400141View attachment 2400143
I think cheapest option kwako ni kutafuta processor ya i7 ya 4th gen kama i7 4770 ina 4 cores 8 threads.. Then upgrade io gpu.. Aliexpress gpu ziko cheap ila be careful i prefer buying new....kama psu yako ni over 300w kibishi unaweza tafuta gtx 1660t unatafuta na sata to 6 pin adapter ...inapiga kazi ila psu inakua used nearing maximum capacity.....kwa experience still i7 3770 au i7 4770 zinaplay game kubwa vizur tu issue ni gpu tu....Chief habari za muda kidogo nilipotea ila bado tuko pa1 kwenye group letu Leo na naswali kidgo hapa
Mashine yangu ni core i5 4gen ram8 ddr3 SSD gb128 hard disk tb 4.5 graphic card yangu Ile Ile Rx 550
Ila kwa game zakisasa kama God of war napata performance ndogo Sana nilikuwa nataka kufanya upgrade
Kuna mashine nataka nichukue core i3 8gen ram12 ddr4 ssd GB128 VIP nikiweka na card yangu naweza pata performance ya juu kuzidi Hii core i5 yangu Kaka! Au ninunue card ingne tu?View attachment 2388961
Hii kua makini unakuta ilitumika kwenye mining.. Afu nyingine ina bidi uflash vbios ili uweze kuitumia kwa gaming..Chief Hii VIP maana budget yangu sio nzuri Sana Ila kwa Hii nimeona nafuuView attachment 2395804
Nenda kariakoo zunguka tafuta i7 4770 kwa mafundi....gpu ata 1650 tu unaenjoy life... Ukifanya ivo u will thank me later...speaking from experience i have 2 machines one with i7 3770 another with i5 10500... i7 3770 is lagging behind i5 10500 lakini bado inasukuma game over 60fps..Kazi IPO!
Kwa sasa naitaji GPU itayo nisogeza hata 3 years mbele
Hii yangu kwa sasa bado ina sua sua hapa Niko na Uncharted Thief collection nafanya installation Ila imani yangu ni ndogo Sana kwenye kuplay aseee
Gaming PC ukiagizia complete kwa budget ya 500k zinaweza kupata ya uhakika Sana!
Tafuta gtx 1660ti au rx 570 or rx 580 utaenjoy.. Ukiweka rtx series cpu will bottleneck gpuMkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1]
I7 3770
PSU 750W
Au ndo nianze kutafuta MOBO za gen ya 8 na kuendelea?View attachment 2396704
Hivi GPU zikitumika katika mining zinakuwa na matatizo yapi mkuu?Hii kua makini unakuta ilitumika kwenye mining.. Afu nyingine ina bidi uflash vbios ili uweze kuitumia kwa gaming..
Mashine gani ya laki 3 mzeeHio GPU itanifanya ninunue computer mpya Tu Hii yangu ntaiweka Tu kama nikinunua hio GPU kwa laki mbili alafu laki tatu nikanunua new mashine hio si itakua imekaa poa sana
Zote umeweka GPU? Au hio core i5 unatumia hivo hivo!Nenda kariakoo zunguka tafuta i7 4770 kwa mafundi....gpu ata 1650 tu unaenjoy life... Ukifanya ivo u will thank me later...speaking from experience i have 2 machines one with i7 3770 another with i5 10500... i7 3770 is lagging behind i5 10500 lakini bado inasukuma game over 60fps..
Mbona core i7 new ni 350k machinga unapata!Mashine gani ya laki 3 mzee
Shida psu yangu ni Watts 300 Tu ndio inanipa hofu! Kuweka card kubwaNenda kariakoo zunguka tafuta i7 4770 kwa mafundi....gpu ata 1650 tu unaenjoy life... Ukifanya ivo u will thank me later...speaking from experience i have 2 machines one with i7 3770 another with i5 10500... i7 3770 is lagging behind i5 10500 lakini bado inasukuma game over 60fps..
Nimeweka gpuZote umeweka GPU? Au hio core i5 unatumia hivo hivo!
1660ti inarun fresh tu nina mwanangu anatumia kma mwaka mpaka sasa.. Psu ni 300w........Shida psu yangu ni Watts 300 Tu ndio inanipa hofu! Kuweka card kubwa