Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Mkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1]

I7 3770

PSU 750W

Au ndo nianze kutafuta MOBO za gen ya 8 na kuendelea?View attachment 2396704
i7 3770 kibishi bishi unacheza mkuu.

Ps4 na Xbox one bado zinatumia 8 thread processor, hivyo kwako pia hamna tabu cpu itapiga kazi vizuri, as long as developers wanatarget hizo device itacheza.

Ila ukiona tu developer wanaanza ku focus kwenye ps5 na Xbox series S (hizi zina core 8 na thread 16) ujue machine yako nayo itapitwa na wakati na haitarun games mpya.

Unaweza uktafuta gpu kama ya jamaa hapo juu rx 580 kwa chini ya laki 2 ni bonge la gpu.
 
Hio GPU itanifanya ninunue computer mpya Tu Hii yangu ntaiweka Tu kama nikinunua hio GPU kwa laki mbili alafu laki tatu nikanunua new mashine hio si itakua imekaa poa sana
 
Hio GPU itanifanya ninunue computer mpya Tu Hii yangu ntaiweka Tu kama nikinunua hio GPU kwa laki mbili alafu laki tatu nikanunua new mashine hio si itakua imekaa poa sana
issue mkuu desktop za bei rahisi hazikubali hizi psu zinazokubali gpu, sema sio impossible unaweza zurura kkoo na machinga waweza bahatisha server ama workstation fulani yenye full psu.
 
Hiki kifaa kina kazi gani?
IMG_3569.jpg

[mention]Chief-Mkwawa [/mention]
 
boss kati hzo 2 ipi ni bora zaidi overall?? View attachment 2400141View attachment 2400143
Zote monitor nzuri sana mkuu hasa kwa hio dell, uki pick yoyote inafaa.

Advantage ya hio lenovo ni 4k hdr10 na Hdmi 2.0 incase unanunua kucheki media na una access na Content za 4k ina make sense kupick hii.

Advantage ya Dell ina color space nyingi Dci, Rec etc kama ni pro na unaedit video utahitaji hii.

So Angalia mwenyewe mkuu matumizo ya Kinyumbani nyumbani mi mingekuchukua hio LG na pro na matumizi ya Ofisi dell.

Sema kuwa makini monitor zote hizo ni bei ndefu zinazidi Milioni thamani zake isijekuwa wamezichezea.
 
Chief habari za muda kidogo nilipotea ila bado tuko pa1 kwenye group letu Leo na naswali kidgo hapa

Mashine yangu ni core i5 4gen ram8 ddr3 SSD gb128 hard disk tb 4.5 graphic card yangu Ile Ile Rx 550

Ila kwa game zakisasa kama God of war napata performance ndogo Sana nilikuwa nataka kufanya upgrade

Kuna mashine nataka nichukue core i3 8gen ram12 ddr4 ssd GB128 VIP nikiweka na card yangu naweza pata performance ya juu kuzidi Hii core i5 yangu Kaka! Au ninunue card ingne tu?View attachment 2388961
I think cheapest option kwako ni kutafuta processor ya i7 ya 4th gen kama i7 4770 ina 4 cores 8 threads.. Then upgrade io gpu.. Aliexpress gpu ziko cheap ila be careful i prefer buying new....kama psu yako ni over 300w kibishi unaweza tafuta gtx 1660t unatafuta na sata to 6 pin adapter ...inapiga kazi ila psu inakua used nearing maximum capacity.....kwa experience still i7 3770 au i7 4770 zinaplay game kubwa vizur tu issue ni gpu tu....
 
Kazi IPO!

Kwa sasa naitaji GPU itayo nisogeza hata 3 years mbele

Hii yangu kwa sasa bado ina sua sua hapa Niko na Uncharted Thief collection nafanya installation Ila imani yangu ni ndogo Sana kwenye kuplay aseee

Gaming PC ukiagizia complete kwa budget ya 500k zinaweza kupata ya uhakika Sana!
Nenda kariakoo zunguka tafuta i7 4770 kwa mafundi....gpu ata 1650 tu unaenjoy life... Ukifanya ivo u will thank me later...speaking from experience i have 2 machines one with i7 3770 another with i5 10500... i7 3770 is lagging behind i5 10500 lakini bado inasukuma game over 60fps..
 
Hio GPU itanifanya ninunue computer mpya Tu Hii yangu ntaiweka Tu kama nikinunua hio GPU kwa laki mbili alafu laki tatu nikanunua new mashine hio si itakua imekaa poa sana
Mashine gani ya laki 3 mzee
 
Nenda kariakoo zunguka tafuta i7 4770 kwa mafundi....gpu ata 1650 tu unaenjoy life... Ukifanya ivo u will thank me later...speaking from experience i have 2 machines one with i7 3770 another with i5 10500... i7 3770 is lagging behind i5 10500 lakini bado inasukuma game over 60fps..
Zote umeweka GPU? Au hio core i5 unatumia hivo hivo!
 
Nenda kariakoo zunguka tafuta i7 4770 kwa mafundi....gpu ata 1650 tu unaenjoy life... Ukifanya ivo u will thank me later...speaking from experience i have 2 machines one with i7 3770 another with i5 10500... i7 3770 is lagging behind i5 10500 lakini bado inasukuma game over 60fps..
Shida psu yangu ni Watts 300 Tu ndio inanipa hofu! Kuweka card kubwa
 
Back
Top Bottom