Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,341
i7 3770 kibishi bishi unacheza mkuu.Mkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1]
I7 3770
PSU 750W
Au ndo nianze kutafuta MOBO za gen ya 8 na kuendelea?View attachment 2396704
Ps4 na Xbox one bado zinatumia 8 thread processor, hivyo kwako pia hamna tabu cpu itapiga kazi vizuri, as long as developers wanatarget hizo device itacheza.
Ila ukiona tu developer wanaanza ku focus kwenye ps5 na Xbox series S (hizi zina core 8 na thread 16) ujue machine yako nayo itapitwa na wakati na haitarun games mpya.
Unaweza uktafuta gpu kama ya jamaa hapo juu rx 580 kwa chini ya laki 2 ni bonge la gpu.