Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,701
Kwa hio bei sio mbaya mkuu ilaChief Kuna duka Moja k.koo nimeona wanauza Lenovo core i7 11gen zinakua na Nvidia mx 350 nataka nichukue Moja kwa gaming vip itafaa maana ni used unaweza nipa pia makadirio ya bei nzur nicije kupigwa
Laki 4 bei zake,bei reasonable mkuu kwa gen 11 i7, hivi i5 8gen inaweza kwenda kwa bei gani mkuu, CPU tu.
Shukran chief na power supply bei zikoje mkuu, kuna power supply niliona AliExpress 500Watt mpaka nkaogopa.Laki 4 bei zake,
Mi mwenyewe nipo kwenye harakati za kubadili PC zangu (i7 gen ya 4/i5 gen ya 6) sema kutokana na majukumu ya kifamilia Desktop kubwa sio option na target desktop ndogo kabisa ambazo naweza kukificha nyuma ya TV ama monitor, na Nimesha narrow down options Zangu.bei reasonable mkuu kwa gen 11 i7, hivi i5 8gen inaweza kwenda kwa bei gani mkuu, CPU tu.
Mbona 500 watt ndogo, kuna psu zinafika 1000W na zaidi.Shukran chief na power supply bei zikoje mkuu, kuna power supply niliona AliExpress 500Watt mpaka nkaogopa.
hapo juu nili andika haraka sukumaliza, hiyo 500W ilikua around 100K, ndo maana nikaogopa niki compare Campany kama coolermaster, na kwanini hizo Optiplex zisikubali kuwekewa PSU nyingine je kama ni yale yenye ma case makubwa mfano hilo hapa chini, bei kubongo bongo PSU ya hivo bei ikoje.Mbona 500 watt ndogo, kuna psu zinafika 1000W na zaidi.
Kwa machine za Kibongo bongo za bei rahisi huwezi weka psu kubwa, so hio utayonunua Aliexpress 500W haitakubali kwenye hizi Dell optiplex na ndugu zake.
Ila ukinunua Workstation ama Gaming pc kama
1. Hp Z series ama Omen
2. Dell precision
3.lenovo Thinkstation
Utaweza badili psu ama ukakuta tayari zina PSU kubwa kama 500 ama 400W.
.
Kuna page ya Instagram kenya galwaycomputers wanaweka sana machine za hivi.
Haka kako vizuri ila sasa hapo, GPU inakaa wapi mkuu, mbona kama yenyewe tu inalingana na GPU tena zile za fan 2.Mi mwenyewe nipo kwenye harakati za kubadili PC zangu (i7 gen ya 4/i5 gen ya 6) sema kutokana na majukumu ya kifamilia Desktop kubwa sio option na target desktop ndogo kabisa ambazo naweza kukificha nyuma ya TV ama monitor, na Nimesha narrow down options Zangu.
1. Hp elitedesk 800 G6 inakuja na Ryzen 4650GE hii ni Equivalent ya 10th gen intel
2. Lenovo P330 inakuja na 8th/9th gen intel na
3. Lenovo M75Q gen 2 inakuja na Ryzen kama HP ya juu
4. Hp z2 mini kuanzia G4 inakuja na 8th gen kupanda.
View attachment 2819103View attachment 2819104View attachment 2819105
Zote hizo hapo juu Zina uwezo wa kuingia dedicated gpu so unaponunua mwanzo ukiona Graphics hazikutoshi mbele ya safari unaweza upgrade.
Kibongo bongo nimesearch sana ila kenya naviona around 35,000 ksh ambayo ni kama 570,000-580,000 hivi ya kwetu, ukichukua kama hio Ryzen 4650GE ina Vega 7 gpu built in unacheza games nyingi tu na kufanya proffesional works kama zote.
kuna hawa jamaa niliwaona FB tangazo lao nkaona bei ndogo sana kwa hizo mini, nkahisi kuna mtu anatafutwa ila kama kuna namna ya kuweka GPU ndo best option hapo.Mi mwenyewe nipo kwenye harakati za kubadili PC zangu (i7 gen ya 4/i5 gen ya 6) sema kutokana na majukumu ya kifamilia Desktop kubwa sio option na target desktop ndogo kabisa ambazo naweza kukificha nyuma ya TV ama monitor, na Nimesha narrow down options Zangu.
1. Hp elitedesk 800 G6 inakuja na Ryzen 4650GE hii ni Equivalent ya 10th gen intel
2. Lenovo P330 inakuja na 8th/9th gen intel na
3. Lenovo M75Q gen 2 inakuja na Ryzen kama HP ya juu
4. Hp z2 mini kuanzia G4 inakuja na 8th gen kupanda.
View attachment 2819103View attachment 2819104View attachment 2819105
Zote hizo hapo juu Zina uwezo wa kuingia dedicated gpu so unaponunua mwanzo ukiona Graphics hazikutoshi mbele ya safari unaweza upgrade.
Kibongo bongo nimesearch sana ila kenya naviona around 35,000 ksh ambayo ni kama 570,000-580,000 hivi ya kwetu, ukichukua kama hio Ryzen 4650GE ina Vega 7 gpu built in unacheza games nyingi tu na kufanya proffesional works kama zote.
Dell na Oem wengine wanafanya makusudi kuweka PSU ambazo hazifanani na wengine ili ikiharibika ukanunue kwao, wanaongeza mapato. Hata iwe kubwa as long as sio workstation/Gaming tegemea huo upuuzi.hapo juu nili andika haraka sukumaliza, hiyo 500W ilikua around 100K, ndo maana nikaogopa niki compare Campany kama coolermaster, na kwanini hizo Optiplex zisikubali kuwekewa PSU nyingine je kama ni yale yenye ma case makubwa mfano hilo hapa chini, bei kubongo bongo PSU ya hivo bei ikoje.
View attachment 2819122
Make naona YouTube wanayabadilisha sana.
Kwa macho tu hizo ni optiplex hazitakubali GPU, mpaka umeona nime mention model za juu nimefanya utafiti wangu kuzi narrow down. Hp Z2 mini series, HP elitedesk 800 Series (zinakubali GT 1660ti tu sema ni gpu kali), Lenovo Thinkstation p 300 series.kuna hawa jamaa niliwaona FB tangazo lao nkaona bei ndogo sana kwa hizo mini, nkahisi kuna mtu anatafutwa ila kama kuna namna ya kuweka GPU ndo best option hapo.
View attachment 2819133
Kuna picha nimeweka imefunguliwa Gpu inaonekana Nvidia Quadro, zinakaa tu zile Gpu za Quadro zinazotumia umeme mdogo kama watts 30, sema Gpu zake zina nguvu na pia bei zake si ghali kwavile watu wanachomoa tu kwenye maserver.Haka kako vizuri ila sasa hapo, GPU inakaa wapi mkuu, mbona kama yenyewe tu inalingana na GPU tena zile za fan 2.
Nimecheki jamaa yupo Vizuri, anauza R7 250GPU kwa 50,000 sio mbaya kwa mtu ambaye anacheza Games on budget.kuna hawa jamaa niliwaona FB tangazo lao nkaona bei ndogo sana kwa hizo mini, nkahisi kuna mtu anatafutwa ila kama kuna namna ya kuweka GPU ndo best option hapo.
View attachment 2819133
Shukran mkuu, ngoja nicheki na mimi.Kuna picha nimeweka imefunguliwa Gpu inaonekana Nvidia Quadro, zinakaa tu zile Gpu za Quadro zinazotumia umeme mdogo kama watts 30, sema Gpu zake zina nguvu na pia bei zake si ghali kwavile watu wanachomoa tu kwenye maserver.
Mfano hii P1000 ni chini ya $100 ebay
Hizo zimejaa kibao sasa hivi nguvu sawa na 1050Ti,P1000 Quadro for sale | eBay
Get the best deals for P1000 Quadro at eBay.com. We have a great online selection at the lowest prices with Fast & Free shipping on many items!www.ebay.com
Mkuu nilikuja kufanikiwa jana baada ya kuiweka juani maana nlihisi ile bardi ya mvua wik ilopita kwa siku2 maana inae motherboard ya alminium na kweli iliwaka sasa naomba nisaidie kitu cha kubadilisha labda ili isiwe inakua ivi kipindi cha barid manake leo tena mvua imenyesha na bard imenigomea tena kuwaka inae bard ukiigusa atariNimecheki sijapata exactly pattern zako ila solutions nyingi zinaelekea tatizo la Battery/adapter...
Ulivyotoa battery ulijaribu kuchomeka adapter bila battery na ku washa?
Pia jaribu adapter nyengine kama ya mashine yako.
Hili nalo neno mkuu, baridi sana inaweza fanya Battery iishe chaji kabisa ama hata kufa.Mkuu nilikuja kufanikiwa jana baada ya kuiweka juani maana nlihisi ile bardi ya mvua wik ilopita kwa siku2 maana inae motherboard ya alminium na kweli iliwaka sasa naomba nisaidie kitu cha kubadilisha labda ili isiwe inakua ivi kipindi cha barid manake leo tena mvua imenyesha na bard imenigomea tena kuwaka inae bard ukiigusa atari
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sawa. Ivi io thermo aitakua ina uhusiano wowote na ii labda nibadilisheHili nalo neno mkuu, baridi sana inaweza fanya Battery iishe chaji kabisa ama hata kufa.
Mimi personally nisingeizima ila mda wote iwe warm, japo sijajua laptop yako inakula umeme kiasi gani.
Ama tumia njia za kawaida za nyumbani kutengeneza hilo joto kama kuiweka kwenye kabati na nguo
Hapana hio ni hali ya kawaida kimazingira, joto la hilo eneo ulipo kama lina karibia 0 ni kawaida,Sawa. Ivi io thermo aitakua ina uhusiano wowote na ii labda nibadilishe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hii ni generation ya 10, upande wa cpu ipo vizuri sana ulaji umeme kidogo na perfomance ni nzuri, ila upande wa graphics ni ya kawaida hutaweza kurun vitu vizito vya graphics kama games za kisasa ama kurender 3D kwa ufanisi. Kama ina gpu ya Nje kama Nvidia Mx series inakua vizuri zaidi.Naomba kujuzwa na mimi pia, Processor yangu ni Intel(R) Core (TM) i5-10210U CPU @ 1.60GHZ 2.11 GHZ, hii nayo imekaaje mkuu?