Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

tafuta video converter, then convert kwenda avi, mpeg, 3gp na format mbali mbali then test hio deki yako.

inaweza kuwa mp4 lakini wakawa wameicompress x264 au x265 hivyo deki yako nayo haisupport hizo compression mwisho wa siku inashindwa kuplay.

So niweke resolution gani mkuu? 240p,144p au 360p kuhusu format nishafahamu hii deki inahitaji format ya MPG sasa resolution ndo tatizo bado mkuu
 
Chief Mkwawa umetisha mno! Asante sana!
 
Mkuu nina HP Envy 17, intel core i7 6700HQ, dedicated 4GB NVDIA GXT 950. 16GB RAM. So hii HQ manake laptop yanhu haitakaa na charge hata kama siplay games?
 
Mkuu nina HP Envy 17, intel core i7 6700HQ, dedicated 4GB NVDIA GXT 950. 16GB RAM. So hii HQ manake laptop yanhu haitakaa na charge hata kama siplay games?
mi nataka kujua bei tu ya hio laptop yako mkuu
 
nice thread
 
Mkuu nina HP Envy 17, intel core i7 6700HQ, dedicated 4GB NVDIA GXT 950. 16GB RAM. So hii HQ manake laptop yanhu haitakaa na charge hata kama siplay games?
mkuu cpu za kisasa zikiwa idle zinatumia umeme mdogo sana hivyo itakaa na chaji ukiwa huna matumizi makubwa, mfano hio laptop yako ikikaa idle na ukapunguza mwanga lets say unasoma kitabu au gazeti inaweza ikakaa hadi masaa 15 lakini laptop hio hio ukaieka perfomance mode na kucheza games kubwa litakaloipeleka cpu hadi 100% itakaa kama saa 1 tu.

cheki hii review
HP Envy 17-n107ng Notebook Review
shuka chini hadi energy management utaona power consumption na battery runtime
 
Na vip kama ukicheza game huku ikiwa kwenye umeme direct wakati umetoa battery ili kusecure lifetime ya battery? Hebu nipe uzoefu wako katka hili na outcomes zake. Isijekuwa nko wrong!
 
Na vip kama ukicheza game huku ikiwa kwenye umeme direct wakati umetoa battery ili kusecure lifetime ya battery? Hebu nipe uzoefu wako katka hili na outcomes zake. Isijekuwa nko wrong!
ni vyema ukicheza game umeme utoke direct, hata kama battery lipo ndani sio tabu. umeme utachukuliwa wa direct na sio battery.

umeme wa battery hauna uwezo wa kuifanya cpu irun 100% ita throttle tu.
 
ni vyema ukicheza game umeme utoke direct, hata kama battery lipo ndani sio tabu. umeme utachukuliwa wa direct na sio battery.

umeme wa battery hauna uwezo wa kuifanya cpu irun 100% ita throttle tu.
Ok, that's good.
 
Kuna jamaa anataka kuuza Laptop SONY VAIO SVE1712K1EW, Intel i3-3110M, 2.40GH, 17.3", Windows 8.0.
Naomba mwongozo wenu tafadhari kwa upande wa specifications na ikiwezekana hata bei ina range vp ili kama nitapendezwa niweze kununua.

Lkn pia ina changamoto ya Housing, ilidondoshwa kwahiyo kuna sehemu kuna cracks.
Vp upatikanaji wake wa housing upoje na gharama zake zipoje?
...
Ahsante!
CC: Chief-Mkwawa
 
mkuu wewe ndio umuulize bei uielete hapa, na kama ina crack ndio kabisa inabidi iwe ndogo.
 
Mkuu nina HP Envy 17, intel core i7 6700HQ, dedicated 4GB NVDIA GXT 950. 16GB RAM. So hii HQ manake laptop yanhu haitakaa na charge hata kama siplay games?

umetisha mkuu una mashine yenye nguvu si mchezo. na me nataka kujua umechukua kwa bei gani
 
Wakuu naomba kufaham...
Yaan pamoja na technologia kukua kwa kasi sana kuwepo kwa innovation za kutosha ni kwanini keyboard za lapton za kawaida au bei ya chin hawaziwekei sense ya kuwaka yaan hazitoi mwanga hasa usiku ukitaka ku type? ni features gan ya gharama kiasi hicho maana naona sana kwenye laptop za mac, hp baadhi nazo ni zle za kuanzia miln1 na kuendelea...?
 
sio keyboard tu, hata display wanaeka HD ya kawaida badala ya full HD na cpu wanaeka atom siku hizi, hupati cpu ya maana kwenye laki 7 kushuka.

kama huna laki 8 kupanda ni vyema tu uende used utapata laptop ya milioni hadi milioni 2 kwa laki 5 tu.

hakuna sababu yoyote ya maana wanataka tu kuongeza faida sababu mauzo yameshuka.
 
Aisee ahsante mkuu
 
Samahani sina ujuzi na computer mm nilikuwa naangalia RAM nikiona ni 4g na kuendelea najua ndio nzuri Niko Sawa au?
 
Kiongozi na hii je? Intel(R) Cereron(R) CPU B815@1.60GHz 1.60GHz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…