Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Wakuu je ubaya wa hii mashine ni upi na ubora wake ni upi?
 
Samahani sina ujuzi na computer mm nilikuwa naangalia RAM nikiona ni 4g na kuendelea najua ndio nzuri Niko Sawa au?
haupo sawa ram kuiongeza ni dakika chache tu na zinauzwa bei rahisi ram, naweza nunua laptop ya 1gb ram yenye thamani ya 100,000 hadi 150,000 kkoo nikatumia 30,000 kuifanya iwe 4gb ram then nikakudanganya ni nzuri nikakuuzia bidhaa mbaya. cpu ni muhimu zaidi kwenye laptop
 
Intel(R)Core(TM)i5-3337U CPU @1.80Ghz 1.80Ghz. VIPI KUHUSU HII NI ACER ASPIRE V5
 
Thanks,yaani leo ndio nimejua laptop Yangu ina Intel atom inside na nilipigwa maana nilinunua 600000/=nikajiona mjanja kumbe ndio Processor ya chini kabisa!
 
Du Xeon nilisoma sehemu inatenenezwa na madini flani ambayo yamegunduliwa gereza la songwe mbeya na kama nchi imasha yauza kabla atujachimba
 
Du Xeon nilisoma sehemu inatenenezwa na madini flani ambayo yamegunduliwa gereza la songwe mbeya na kama nchi imasha yauza kabla atujachimba
cpu zinatengenezwa na silicon na silicon inatengenezwa na mchanga, na silicon yenyewe inaenda kugonga mwamba sasa hivi wanatafuta alternative ya material
 
Ni aina gani ya pc iko vizuri katika video editing,ghraphic designing na ina support games?? Used kwa bei rahisi kama unaweza kunielekeza hata kwa link ya kwenye kupatana na mitandao mingine au sehemu yoyote ila nipo dodoma
 
budget yako ni kiasi gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…