Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #441
ni kawaida mkuu kwa motherboard kuja hivyo, japo laptop baadhi motherboard zina gpu, laptop nyingi hutumia internal gpu ambayo ipo ndani ya processor.nataka kuagiza motherboard , kila nkicheki ebay naona motherboard zenyew hazina cpu wala gpu , linakuja mobo tu ,na mi nahisi nimefry cpu au gpu since napata black screen , vp wap naweza kupata mobo ya envy 15
ni envy 15 j , cha muhim nataka motherboard inayofit , japo yangu ilikuwa na nvidia gpu lakin yoyote as far as my laptop itapona, maana sidhan kama nkitafuta cpu peke yake ntaipata ileile maana ikiwa tofauti kidogo inaweza kuzingua mfano kwenye masuala ya umemeni kawaida mkuu kwa motherboard kuja hivyo, japo laptop baadhi motherboard zina gpu, laptop nyingi hutumia internal gpu ambayo ipo ndani ya processor.
na kama umeunguza cpu kwanini unanunua motherboard? si ununue cpu?
ni vyema mkuu ukaangalia vizuri umeharibu nini, pia hio envy15 full model yake ni ipi? maana kuna envy nyingi sana
cpu unaipata ile ile as long as ilikuwa socketed, still hapo hujataja model, mfano wa model ni kama huuni envy 15 j , cha muhim nataka motherboard inayofit , japo yangu ilikuwa na nvidia gpu lakin yoyote as far as my laptop itapona, maana sidhan kama nkitafuta cpu peke yake ntaipata ileile maana ikiwa tofauti kidogo inaweza kuzingua mfano kwenye masuala ya umeme
ahaa ,hii ni envy 15 j151sa, sasa tatizo mafundi wa bongo hawawezi kukuambia wazi ni gpu au cpu iliyokufa , mfano mm nimediagnose mwenyew nimegundua ni cpu japo mara nyingi tatizo la kutoonyesha kwa screen huwa ni gpucpu unaipata ile ile as long as ilikuwa socketed, still hapo hujataja model, mfano wa model ni kama huu
HP ENVY 15-as020nr
ukirudi tena jukwaani jifunze kuandika vizuriOk nimekuelew xana.. Thanks
tafuta yenye gpu ya amd au nvidia na cpu nzuriNiwe nacheza kila game bila stack stak, nikienda Dukani niulizie pc yenye spc gani. ? Naomba msaada tafadhali
Najuaje. .? Sometimes kunakuwa na ki badge pale nje lkn isiwepo. Kuangalia kama imekuwa installed nafanyaje. ?tafuta yenye gpu ya amd au nvidia na cpu nzuri
washa hio pc halafu run dxdiag ucheki details zake , au tumia bios kabisaNajuaje. .? Sometimes kunakuwa na ki badge pale nje lkn isiwepo. Kuangalia kama imekuwa installed nafanyaje. ?
ina cpu gani yako? unaweza fanya ikawa kama opportunity ku upgrade cpu kwa kueka yenye nguvu kushinda hio, ila mwanzo azima cpu hata kwa fundi ili utestie kwanza, nitajie cpu yako nitakutajia list ya cpu zinazoingilianaahaa ,hii ni envy 15 j151sa, sasa tatizo mafundi wa bongo hawawezi kukuambia wazi ni gpu au cpu iliyokufa , mfano mm nimediagnose mwenyew nimegundua ni cpu japo mara nyingi tatizo la kutoonyesha kwa screen huwa ni gpu
uhakika zaidi unapata mashine ya core 2 duo, tafuta yenye clock kubwa kama 3.0ghz hivi, pia ukikomaa kutafuta unaweza pata ya core 2 quad ambayo ni nzuri zaidi.Mkuu MKWAWA nina 150k ntapata desktop yenye spec zip
kama alivyokujibu beast18 utahitaji dedicated gpu ya nvidia au amd na cpu nzuri kama za i3/i5/i7 ila zinacost bei kubwa mara nyingi ni milioni 1 kupanda juu.Niwe nacheza kila game bila stack stak, nikienda Dukani niulizie pc yenye spc gani. ? Naomba msaada tafadhali
ina cpu ya amd a10ina cpu gani yako? unaweza fanya ikawa kama opportunity ku upgrade cpu kwa kueka yenye nguvu kushinda hio, ila mwanzo azima cpu hata kwa fundi ili utestie kwanza, nitajie cpu yako nitakutajia list ya cpu zinazoingiliana
Kuna Toshiba portege r930 nilichukua used quality ya sauti yake ipo chini sana na haina base. Niliirudisha dukani nilipoichukulia wakafanya wanavyojua wakaishia kuniambia ndio sauti yake hiyo kwenye hizo laptop ndogo hasa za Toshiba.kama alivyokujibu beast18 utahitaji dedicated gpu ya nvidia au amd na cpu nzuri kama za i3/i5/i7 ila zinacost bei kubwa mara nyingi ni milioni 1 kupanda juu.
kama mfuko hauruhusu laptop za 4th gen zenye intel HD 4600 zinapatikana kwa urahisi used bei around 400,000 hadi 600,000
Fungua cheki hdd imechomokawakuu habari za leo?Nina pc yangu ilianguka chini lakini baada ya kuanguka haiwaki mpaka mwisho inaonesha mandishi kama ya hiyo picha.Shida inaweza ikawa nini?
hizo ni ngumu kuzipata kibongo bongo ila ebay naziona nyingi, ni A10 5750M?ina cpu ya amd a10
ukitumia 3rd party player kama vlc je? then uongeze saut had mwishoKuna Toshiba portege r930 nilichukua used quality ya sauti yake ipo chini sana na haina base. Niliirudisha dukani nilipoichukulia wakafanya wanavyojua wakaishia kuniambia ndio sauti yake hiyo kwenye hizo laptop ndogo hasa za Toshiba.
yes ni hiyo hiyo 5750m ,hizo ni ngumu kuzipata kibongo bongo ila ebay naziona nyingi, ni A10 5750M?