Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

nataka kuagiza motherboard , kila nkicheki ebay naona motherboard zenyew hazina cpu wala gpu , linakuja mobo tu ,na mi nahisi nimefry cpu au gpu since napata black screen , vp wap naweza kupata mobo ya envy 15
ni kawaida mkuu kwa motherboard kuja hivyo, japo laptop baadhi motherboard zina gpu, laptop nyingi hutumia internal gpu ambayo ipo ndani ya processor.

na kama umeunguza cpu kwanini unanunua motherboard? si ununue cpu?

ni vyema mkuu ukaangalia vizuri umeharibu nini, pia hio envy15 full model yake ni ipi? maana kuna envy nyingi sana
 
ni envy 15 j , cha muhim nataka motherboard inayofit , japo yangu ilikuwa na nvidia gpu lakin yoyote as far as my laptop itapona, maana sidhan kama nkitafuta cpu peke yake ntaipata ileile maana ikiwa tofauti kidogo inaweza kuzingua mfano kwenye masuala ya umeme
 
cpu unaipata ile ile as long as ilikuwa socketed, still hapo hujataja model, mfano wa model ni kama huu
HP ENVY 15-as020nr
 
ahaa ,hii ni envy 15 j151sa, sasa tatizo mafundi wa bongo hawawezi kukuambia wazi ni gpu au cpu iliyokufa , mfano mm nimediagnose mwenyew nimegundua ni cpu japo mara nyingi tatizo la kutoonyesha kwa screen huwa ni gpu
 
Natumia hp intel pentium n3530,hyo speed yake na uwezo kwenye gaming vp
 
Niwe nacheza kila game bila stack stak, nikienda Dukani niulizie pc yenye spc gani. ? Naomba msaada tafadhali
 
ahaa ,hii ni envy 15 j151sa, sasa tatizo mafundi wa bongo hawawezi kukuambia wazi ni gpu au cpu iliyokufa , mfano mm nimediagnose mwenyew nimegundua ni cpu japo mara nyingi tatizo la kutoonyesha kwa screen huwa ni gpu
ina cpu gani yako? unaweza fanya ikawa kama opportunity ku upgrade cpu kwa kueka yenye nguvu kushinda hio, ila mwanzo azima cpu hata kwa fundi ili utestie kwanza, nitajie cpu yako nitakutajia list ya cpu zinazoingiliana
 
Mkuu MKWAWA nina 150k ntapata desktop yenye spec zip
uhakika zaidi unapata mashine ya core 2 duo, tafuta yenye clock kubwa kama 3.0ghz hivi, pia ukikomaa kutafuta unaweza pata ya core 2 quad ambayo ni nzuri zaidi.
 
Niwe nacheza kila game bila stack stak, nikienda Dukani niulizie pc yenye spc gani. ? Naomba msaada tafadhali
kama alivyokujibu beast18 utahitaji dedicated gpu ya nvidia au amd na cpu nzuri kama za i3/i5/i7 ila zinacost bei kubwa mara nyingi ni milioni 1 kupanda juu.

kama mfuko hauruhusu laptop za 4th gen zenye intel HD 4600 zinapatikana kwa urahisi used bei around 400,000 hadi 600,000
 
ina cpu gani yako? unaweza fanya ikawa kama opportunity ku upgrade cpu kwa kueka yenye nguvu kushinda hio, ila mwanzo azima cpu hata kwa fundi ili utestie kwanza, nitajie cpu yako nitakutajia list ya cpu zinazoingiliana
ina cpu ya amd a10
 
kama alivyokujibu beast18 utahitaji dedicated gpu ya nvidia au amd na cpu nzuri kama za i3/i5/i7 ila zinacost bei kubwa mara nyingi ni milioni 1 kupanda juu.

kama mfuko hauruhusu laptop za 4th gen zenye intel HD 4600 zinapatikana kwa urahisi used bei around 400,000 hadi 600,000
Kuna Toshiba portege r930 nilichukua used quality ya sauti yake ipo chini sana na haina base. Niliirudisha dukani nilipoichukulia wakafanya wanavyojua wakaishia kuniambia ndio sauti yake hiyo kwenye hizo laptop ndogo hasa za Toshiba.
 
ukitumia 3rd party player kama vlc je? then uongeze saut had mwisho
 
Back
Top Bottom