Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #441
ni kawaida mkuu kwa motherboard kuja hivyo, japo laptop baadhi motherboard zina gpu, laptop nyingi hutumia internal gpu ambayo ipo ndani ya processor.nataka kuagiza motherboard , kila nkicheki ebay naona motherboard zenyew hazina cpu wala gpu , linakuja mobo tu ,na mi nahisi nimefry cpu au gpu since napata black screen , vp wap naweza kupata mobo ya envy 15
na kama umeunguza cpu kwanini unanunua motherboard? si ununue cpu?
ni vyema mkuu ukaangalia vizuri umeharibu nini, pia hio envy15 full model yake ni ipi? maana kuna envy nyingi sana