Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #741
hio ni generation ya 6, ni nzuri sana mambo karibia yote itafanya.Kompyuta yangu ni HP Probook 450 G3 na processor yake ni core i7-6500U hii itakuwa katika kundi lipi.?
mbona kama umetuma jina la firmware? sio x230 hio? tembelea uzi huu utasaidiwachief msaada kuunlock modem Airtel ix1b5200xx imei 867612002467391
Mkuu, hii display unaiangalia vipi kwenye laptop?mkuu siku zote ukipatia processor automatic specs nyengine nazo zinakuwa vizuri. mfano ingia amazon andika i3 6100u laptop then zitakuja laptop zote zenye hio processor utaona zina ram kuanzia 4gb, hdd ni 500gb kupanda webcam etc
vitu muhimu vyengine vya kuangalia ni ssd, laptop zenye ssd zinakuwa na speed zaidi kuliko zenye hdd, sema bei ya ssd 128gb ni sawa na hdd 1tb. hivyo utaangalia kama huna mambo mengi ya kuhifadhi ssd ni bora zaidi kama una mambo mengi nunua ya hdd baadae ukipata hela nyengine utaitoa hio hdd na kueka ssd.
chengine ni display, laptop nyingi zinakuja na HD ya kawaida yaani 1366x768 ila ukipata display ya full HD ni bora zaidi 1920x1080 na ni vyema ikawa ni Ips panel ili uone vizuri hata kama utakuwa huiangalii laptop direct
Chief-Mkwawa mchango wako wa utaalam ni msaada mkubwa pengine kuliko unavyofahamu! Bravomkuu hizo bei ni nzuri kupita kiasi mpaka napata wasi wasi anaweza kuwa tapeli.
kwa heavy task hio i5 7300HQ au i7 yake yaani 7700HQ na nvidia 1050ti inakufaa. ila hakikisha hio i7 ni kama hio nilioitaja na sio ile inayoishia na u kama 7600u.
hizo zinazoishiwa na HQ zina core nyingi i5 ni core 4 na thread 4 wakati i7 ni core 4 na thread 8. ila kama unafanya multithreaded works nyingi kama video editing itakufaa zaidi hio i7.
msaada chiefchief mkwawa,ninalaptop ya dell core i5 ram 4 na processor 2.7 lkn inazingua mwanga nimeongeza mpaka mwishoo lakin autoshii,afuu ikiwa imewaka fenii inauguruma,tatiz niii ninii?
akiwa anatumia au hata akiwa hatumii?Mkuu Chief Mkwawa, kuna Msela angu mmoja ana laptop aina ya Asus (spec sijazijua) ila ina tatizo kwenye casa inacheza cheza hovyo tatizo litakuwa nini hapo?
umeeka drivers za graphics? na hio i5 yako ni ipi? nenda my computer halafu right click then properties utaona jina la hio i5.chief mkwawa,ninalaptop ya dell core i5 ram 4 na processor 2.7 lkn inazingua mwanga nimeongeza mpaka mwishoo lakin autoshii,afuu ikiwa imewaka fenii inauguruma,tatiz niii ninii?
kwenye computer yako bonyeza search kisha andika hili nenoMkuu, hii display unaiangalia vipi kwenye laptop?
Ok, Man thanks!kwenye computer yako bonyeza search kisha andika hili neno
dxdiag
then kitatokea hicho ki dxdiag ki click then kitafunguka, click display utapata information hizo za resolution na aina ya display.
Hii casa inacheza cheza wakati wa kui point kwenye file haiwi stable kabisa yaani unaweza ukawa una_direct kwenye file flani lkn unakuta mara imeruka kwenda juu zaidi au Kwingineko na hata ikitulia kwenye file husika ukigusa tu TouchPad basi inahama tena na kuruka Kwingine.... Ila Thanks kwa hio suggestion yako ngoja nichek nazo!akiwa anatumia au hata akiwa hatumii?
laptop za kisasa touchpad zake ni multitouch, zimetengenezwa ili uweze ku apply gestures za windows 10, hivyo zina sense mguso zaidi ya mmoja, inapotokea kuna kitu kimegusa touchpad kama vile kiungo chako cha mwili au uchafu, then na kidole chako pia kinagusa hapo kunakuwa na miguso miwili na utaona cursor ina ruka ruka au inaji right click etc.
sometime linakuwa ni Tatizo tu la touchpad, inaweza kuwa imeharibika.
njia rahisi ni kununua mouse ya nje, au aibadilishe hio touchpad.
dedicated haina cha generation ipo generation zote, ila i5 nzuri kwa games ni zile zinazoishiwa na HQ ambazo zipo gen ya 6 na 7.Mkuu mi nataka kunua laptop kwa ajili ya gaming naomba mwongozo ni generation ya ngapi ya intel core i5 inakuwa na dedicated graphic memory kubwa
sijakuelewaa chief,niniii maana ya graphic na kishafika kwenye task manager nifanyee ninii chiefumeeka drivers za graphics? na hio i5 yako ni ipi? nenda my computer halafu right click then properties utaona jina la hio i5.
na feni linaunguruma pc ikipata joto, likiwa linaunguruma nenda task manager ili ujue nini kinaungurumisha, kwenda task manager right click chini kwenye task bar kisha chagua task manager.
drivers za graphics ndio zinazo controll mwanga, na graphics (gpu) ni kifaa ndani ya laptop yako ambacho kinacontroll visual, kama vile kuplay video, kucheza games, etc.sijakuelewaa chief,niniii maana ya graphic na kishafika kwenye task manager nifanyee ninii chief
nimechekii wameonesha CPU 0%,memory 42% disk0%drivers za graphics ndio zinazo controll mwanga, na graphics (gpu) ni kifaa ndani ya laptop yako ambacho kinacontroll visual, kama vile kuplay video, kucheza games, etc.
ukifika kwenye task manager itakuonyesha ni kwa kiasi gani processor, ram na harddisk inatumika, hapo ikiwa inaunguruma.
sasa chief tatizoo LA mwanga tunalisolve vpp?? msaada piaa na fenii kuungurumadrivers za graphics ndio zinazo controll mwanga, na graphics (gpu) ni kifaa ndani ya laptop yako ambacho kinacontroll visual, kama vile kuplay video, kucheza games, etc.
ukifika kwenye task manager itakuonyesha ni kwa kiasi gani processor, ram na harddisk inatumika, hapo ikiwa inaunguruma.
jaribu kueka program inaitwa malware bytes, uscan pc yako, probably una migodinimechekii wameonesha CPU 0%,memory 42% disk0%